Tume ya maafa iko chini ya PM au wenyewe kazi yao ni kwenda kwenye misiba tu kutoa pole?Wakuu nimejaribu kuwaza kiusalama zaidi. Mungu si athmani hii iliyoanguka na kuchukua muda mrefu kuokolewa kama ingekuwa ni ndege ya kivita kutoka kwa maadui wetu jirani. Kwa mfano lakini...
Yaani kila swali halina majibu..tujiulize ndege ingeanguka mbali zaidi ndani ya ziwa hali ingekuwaje?
Bado labda tuweke siasa, wanajeshi viapo vyao ni kulinda mipaka yetu, Leo kuna human trafficking syndicates nyingi zinazo operate hapa nchini, illegals wanaingia nchini kupitia mpaka na kenya, wanasafiri hadi kasumulu border bila ya kuonekana na kupotolea kule, sidhani hadi kikosi chetu cha anga pale mwanza kilipata taarifa kuanguka kwa ndege hii!
Hiyo habari ya hamza kuua watu 9 we umeipata wapi?Hapa hatuna askari wa kumzuia adui wala kufanya uokoaji.
Uthibitisho wa kauli hii ni tukio la mzalendo Hamza, peke yake tu aliweza kuwapora askari bunduki na kuwapeleka peponi askari 9 na kuwajeruhi 6. Kisha akaamua tu kuacha.
Na kuhusu uokoaji ni hayo madudu ya leo
Walikufa wangapi mkuu?Hiyo habari ya hamza kuua watu 9 we umeipata wapi?
Acha pumba basi jombaa au una tatzo la afya ya akili.Hapa hatuna askari wa kumzuia adui wala kufanya uokoaji.
Uthibitisho wa kauli hii ni tukio la mzalendo Hamza, peke yake tu aliweza kuwapora askari bunduki na kuwapeleka peponi askari 9 na kuwajeruhi 6. Kisha akaamua tu kuacha.
Na kuhusu uokoaji ni hayo madudu ya leo
Walisema ni wawiliWalikufa wangapi mkuu?