ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mbona kuwa tajiri Ni kazi rahisi sana yaani Tanzania nzima nashindwa nini kuwaomba Wananchi laki moja tu kwa wastani kila mkoa niombe watu 3000.
Wengine unawafanyia kazi ndogo wakikupa tu hela chap unaiweka kwenye account ndani ya mwaka utakuwa umetembelea kote na niamini watanzania laki na zaidi wakukupa bukubuku wapo au ukitaka kufanikiwa zaidi basi omba 100 kwa watu million 1 tembea Sana kila unayekutana zaye mwambie naomba mia tu unazikusanya unakuwa unaziweka baada ya miaka mitatu unakuwa bonge la tajiri
Haya maisha tu jamani washkaji zangu tupeane mbinu.