Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Wazo zuri kabisa mkuu japo ni la livivu sana 😂😂. Kuna wale watu wana namba za watu wengi sana kwenye sim zao, wengine hadi 500 au 600 huko.
Huo ndo mtaji wako anza na hao kwanza, hamia mitandao ya kijamii wafike hata 1000 tu.
Ukishawaomba hao unakaa baada ya wiki kadhaa unawaomba tena, utajipata ushawaomba watu 2000. Tafuta wengine 1000 fanya kama mwanzo.
Rudia tena na tena na tena na tena tena, utajipata uko utajiri ya kutishaa 😂😂