Kwa mfano nikipewa 1000 na watu laki 1 tu nakuwa na millioni 100

Wazo zuri kabisa mkuu japo ni la livivu sana πŸ˜‚πŸ˜‚. Kuna wale watu wana namba za watu wengi sana kwenye sim zao, wengine hadi 500 au 600 huko.

Huo ndo mtaji wako anza na hao kwanza, hamia mitandao ya kijamii wafike hata 1000 tu.

Ukishawaomba hao unakaa baada ya wiki kadhaa unawaomba tena, utajipata ushawaomba watu 2000. Tafuta wengine 1000 fanya kama mwanzo.

Rudia tena na tena na tena na tena tena, utajipata uko utajiri ya kutishaa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Inabidi uwanzishe telegram groups arafu anzisha mchezo wa buku buku kila siku anatoka mtu tatzo ni kupata huo mtaji wa watu laki moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…