The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Mlisema Magufuli ni dictator, mpaka mwenyezi Mungu alipomtambulisha dictator wa kweli!
Sasa ni full kilio na kumuuliza Mungu kuwa tulimkosea nini.
Mungu alitupa Sauli nae akajawa na kiburi; Mungu akamuondoa baada ya watu wa taifa lake Kuomba kubadilishiwa kiongozi. Now tupo na Daudi ambaye mwanzo alianza vizuri ila sasa madaraka yamemlevya.
Tujifunze kuwa na shukran jamani.