Kwa mfululizo wa haya matetemeko HANANG, wataalam chukueni hatua za haraka

southg

Senior Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
124
Reaction score
163
Kumekuwa na wimbi la matetemeko hapa HANANG Kutokana na majanga yaliyotukumba mwaka 2023, ya maporomoko ya tope Toka mlima Hanang, bado wananchi wanahofu ya kukumbwa na janga lingine.

Hivyo basi serikali tumeni wataalamu waje wafanye uchunguzi.Tuchukue tahadhari kabla ya hatari
 
Kumekuwa na wimbi la matetemeko hapa HANANG Toka Jana mpaka leo jioni hii,inaogofya usiku wa kuamkia leo mnamo saa 7:13 usiku kulitokea tetemeko kubwa linalokadiriwa kufikia kipimo Cha 4.6.Kutokana na majanga yaliyotukumba mwaka 2023, ya maporomoko ya tope Toka mlima Hanang,bado wananchi wanahofu ya kukumbwa na janga lingine.Hivyo basi serikali tumeni wataalamu waje wafanye uchunguzi.Tuchukue tahadhari kabla ya hatari
C mliambiwa ondokeni hapo mlimani
 
Iteni wazee, ongeeni nao mmalizane.. Huenda kuna ahadi mliwapa hamjatekeleza.. Msilete mzaha kwenye mila...... Leteni uzungu kwenye mila mtaelewa.
 
Kila mwaka huwa wanaenda tambika wao kwa sasa wana askari pori walivowazui mwaka jana kwa kuwapiga naona wazee wamegoma kwenda..
 
Huko US nao wameshambuliwa ao nao wana wazee?

Complete overview of the latest earthquakes near Washington, D.C., The United States, updated every minute. Did you feel an earthquake today in Washington, D.C.? If an earthquake is happening right now near Washington, D.C., it will show up within minutes.
 
Kumekuwa na wimbi la matetemeko hapa HANANG Kutokana na majanga yaliyotukumba mwaka 2023, ya maporomoko ya tope Toka mlima Hanang, bado wananchi wanahofu ya kukumbwa na janga lingine.

Hivyo basi serikali tumeni wataalamu waje wafanye uchunguzi.Tuchukue tahadhari kabla ya hatari
Tetemeko la ardhi linatokea Hanang lakini sijawahi ona watu Hanang wanatetemeka.miili yao linapotetemeka tetemeko

Tetemeko linatetemeka peke yake
Ina maana hawalipi ushirikiano ndio maana linarudia rudia
 
Kila mwaka huwa wanaenda tambika wao kwa sasa wana askari pori walivowazui mwaka jana kwa kuwapiga naona wazee wamegoma kwenda..
Wazingatie ishara hizi mapema kuepusha majanga.
 
Back
Top Bottom