MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Ni kwamba kuanzia sasa….
Nikiwa naongea na Mtu yoyote Kwanza namwambia azime Simu yake
Nikiwa nazungumzia mambo ya Siasa na Mtu namwambia Kwanza azime Simu yake
Nikiwa namtongoza Mke wa Mtu Kwanza namwambia azime Simu yake
Nikiwa namzungumzia Rais JPM Kijiweni nitawaomba wana Vijiwe Kwanza wazime Simu zao
Nikiwa nataka Kumteta Mtu nikiwa na Rafiki yangu Kwanza nitamwambia azime Simu
Nikiwa napanga Kumdhulumu Mtu kwa Kushirikiana na Mwenzangu Kwanza nitamwomba azime Simu
Nikiwa na Mwanamke yoyote Chumbani Kimapenzi nitamwomba Kwanza azime Simu yake
Kwa Tanzania ya sasa ni bora ukutwe na tatizo lolote lakini siyo la Kudukuliwa na Kurekodiwa Sauti yako.