Kwa mfumo wangu huu mpya wa Maisha naomba nisilaumiwe na wale watakaokumbana nao

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Ni kwamba kuanzia sasa….

Nikiwa naongea na Mtu yoyote Kwanza namwambia azime Simu yake

Nikiwa nazungumzia mambo ya Siasa na Mtu namwambia Kwanza azime Simu yake

Nikiwa namtongoza Mke wa Mtu Kwanza namwambia azime Simu yake

Nikiwa namzungumzia Rais JPM Kijiweni nitawaomba wana Vijiwe Kwanza wazime Simu zao

Nikiwa nataka Kumteta Mtu nikiwa na Rafiki yangu Kwanza nitamwambia azime Simu

Nikiwa napanga Kumdhulumu Mtu kwa Kushirikiana na Mwenzangu Kwanza nitamwomba azime Simu

Nikiwa na Mwanamke yoyote Chumbani Kimapenzi nitamwomba Kwanza azime Simu yake

Kwa Tanzania ya sasa ni bora ukutwe na tatizo lolote lakini siyo la Kudukuliwa na Kurekodiwa Sauti yako.
 
Umesikika vyema mzee kinana.
 
Simu...df!!!
Upo old age nini..
Kna vifaa chungu nzima vnauwezo kukurekodi.
Simu ni njia ya kijinga sana km mtu ana nia hio.
 
We unawaza simu wakati kuna saa, miwani, peni na Vifungo maalumu vinakurekodi video na hata sauti yako... sasa wewe endelea kukariri Simu tu
 
Simu...df!!!
Upo old age nini..
Kna vifaa chungu nzima vnauwezo kukurekodi.
Simu ni njia ya kijinga sana km mtu ana nia hio.
Hivi kile kifaa ambacho kipo kama dish kinachorekodi sauti ukiwa umbali mrefu kinaitwaje tena?
Mara nyingi kinatumika na wanaintelijensia kama CIA
 
Back
Top Bottom