Kama ni jumba ndio alishaangushiwa...na huo unaibu PM ni kumfunga kamba mguuni. Bi Tozo ameshauriwa na wakata kiuno wake Biteko ndio nyota ya Lake Zone akae nayo kwa tahadhari.Maskini Biteko yawezekana kaachiwa msala ili achafuliwe na aondolewe kwenye system
My point ni kwamba sijaona mabadiliko yaliyotokea zaidi naona hali inazidi kuwa mbayaKwa hiyo huyu wa sasa anaficha umeme!
Unataka mabadiliko ya wiki moja mkuu. Ungefanya comparison ya Kalemani na Januari ningekuelewa.My point ni kwamba sijaona mabadiliko yaliyotokea zaidi naona hali inazidi kuwa mbaya
Wananchi sisi ni kama wateja tunataka tu kuona outcome. How you do it haituhusu.Unataka mabadiliko ya wiki moja mkuu. Ungefanya comparison ya Kalemani na Januari ningekuelewa.
January mlianza kumlaumu muda gani tangu aingie ofisini?Unataka mabadiliko ya wiki moja mkuu. Ungefanya comparison ya Kalemani na Januari ningekuelewa.
Dotto Bieko kabebeshwa Zigo la misumari, mmetuona NYANIYaani kwa kipindi cha miaka 4 sijawahi experience shida ya umeme iliyopo sasa. Sijawahi kumuamini bwana January lakini hata wakati akiwa waziri umeme ulikuwa haukati hivi.
Sasa hivi ni week sasa ikifika saa moja au mbili wanapita na umeme walianza wanarudisha saa 12 naona jana wamerejesha saa 2 leo sijui watarejesha saa ngapi. Yaani sisi tunaotegemea biashara zinazohitaji umeme tumekwisha kabisa.
Hii nchi ni rahisi sana kuwa kiongozi hata huhitaji kuumiza kichwa kutatua changamoto maana chawa watakutetea kwani yeye ndiye anayeleta mvua.
Mkuu mimi sijawahi kumuamini January, ila ninasema ninachokiona kwa sasaDotto Bieko kabebeshwa Zigo la misumari, mmetuona NYANI