Kwa mgao huu wa umeme bora hata January Makamba

Tatizo ni huyo huyo January, ye kaachia madaraka mgao ukiwa ushaanza

Si waliingia kwa mbwembwe kumchafua magufuli kua mashine hakua anazifanyia service, haya ngoja tuone wao watatufikisha wapi
Kila muda story inabadilika. Walianza miundombinu, wakaja sijui na nini yani full change
 
Mipango yangu yote wanakwamisha mbwa Hawa , kwanini wasiruhusu mashirika mengine yawekeze kwenye umeme kama serikali imeshindwa kuliko huu usenge wanaofanya
 
Kituko cha mtaani kwangu hapa umeme upo tunalingishiwa tu unawasha taa chaajabu feni hauwashi yaani nnapromiss na shemeji yako mpya nikasema nichukue mashine nijinyoe nywele zakule dah yaaaani mashine inatoa nguvu kwambaliiiiii hainyoi kabisa leo nnaumbuka
Ila wewe!!!!!!. Hahahah

Mashine yako mbovu asee.
 
Yaani kwa kipindi cha miaka 4 sijawahi experience shida ya umeme iliyopo sasa. Sijawahi kumuamini bwana January lakini hata wakati akiwa waziri umeme ulikuwa haukati hivi.

Sasa hivi ni week sasa ikifika saa moja au mbili wanapita na umeme walianza wanarudisha saa 12 naona jana wamerejesha saa 2 leo sijui watarejesha saa ngapi. Yaani sisi tunaotegemea biashara zinazohitaji umeme tumekwisha kabisa.

Hii nchi ni rahisi sana kuwa kiongozi hata huhitaji kuumiza kichwa kutatua changamoto maana chawa watakutetea kwani yeye ndiye anayeleta mvua.
Tatito hili ni la January.

Huyu wa Sasa anaendelea alipoishia January.
 
Mtoa mada, Una akili kabisa kabisa ???.

Unamlaumu mtu mwenye chini ya wiki Moja ofisin??.
 
Hayo ya wiki ama mwezi sicho nachoona. Mimi nazungumzia ninachoona. Mimi ni kama mteja ninachohitaji kuona ni solution, haijalishi ipatikane kwa wiki, dakika, siku ila solution.
 
Yaani kwa kipindi cha miaka 4 sijawahi experience shida ya umeme iliyopo sasa. Sijawahi kumuamini bwana January lakini hata wakati akiwa waziri umeme ulikuwa haukati hivi.

Sasa hivi ni week sasa ikifika saa moja au mbili wanapita na umeme walianza wanarudisha saa 12 naona jana wamerejesha saa 2 leo sijui watarejesha saa ngapi. Yaani sisi tunaotegemea biashara zinazohitaji umeme tumekwisha kabisa.

Hii nchi ni rahisi sana kuwa kiongozi hata huhitaji kuumiza kichwa kutatua changamoto maana chawa watakutetea kwani yeye ndiye anayeleta mvua.
Wewe acha hizo, huyo February ni tapeli aliyebobea
 
Maeneo nilipo umeme kuwepo ni ajabu kabisa ila kutokuwepo sio ajabu.

Jana tulishinda na umeme leo saa 12 asubuhi wamekata.

Yaani ni kero kabisa, mkishinda na umeme mjue jioni watakata wanarudisha saa 6 usiku msiposhinda nao mjue jioni ndo unarudi,
 
Mipango yangu yote wanakwamisha mbwa Hawa , kwanini wasiruhusu mashirika mengine yawekeze kwenye umeme kama serikali imeshindwa kuliko huu usenge wanaofanya
Umefungua kiwanda Cha Samaki wabichi unawaweka kwenye mafriiza alafu hauna backup generator? Full hasara utanuka shombo na uozo wa Samaki
 
Kituko cha mtaani kwangu hapa umeme upo tunalingishiwa tu unawasha taa chaajabu feni hauwashi yaani nnapromiss na shemeji yako mpya nikasema nichukue mashine nijinyoe nywele zakule dah yaaaani mashine inatoa nguvu kwambaliiiiii hainyoi kabisa leo nnaumbuka
Bora ukatike hivyo hivyo uone aibu kuzini mkuu.
 
Swala la umeme....wakati wa Mjomba kilikuwa na afadhali.
 
Asubuhi nasikiliza magazeti, moja likasomwa kuna mgao mpya umeanza.
 
Back
Top Bottom