Kwa miaka 18 sijawahi kushudia ugumu wa biashara kama awamu hii ya Tano

Pole mwaya, tatizo serikali inafanya biashara na taasisi za serikali kwahyo kampuni nyingi binafsi ambazo zilikuwa suppliers wa serikali na walipa kodi wazuri zinakufa taratibu. Mungu akusaidie ila atusaidie na sisi maana cjui kama 2020 tutafika salama kama mambo yataendelea hivi.
 
Dah pole Sana jamaa yangu...kaa chini tulia omba Mungu endelea kupambana..Mungu ni mwema hutakosa ridhki muhimu usikae tu kusubiri..
 
mkuu

si tunaongozwa na malaika na kila siku watu wana msifu na kumuabudu?? au ww umeshindwa kumsifu na kumuabudu??
 
Ww ulikuwa mpiga deal. Kwa sas umebanwa ndiyo maaana unaona hali ngumu. Watub tupo kwenye raiti track mkuu halafu ww unalala? Ina maana hauoni kuwa mambo ni mazuri na tumeshakuwa dona kantri
 
Mzee unaniandika mimi hapa mpk 2015 biashara yangu ya dar pekee mauzo yake ndo mauzo niliyonayo sahiz kwa maduka yangu yote sita
Biashara imekuwa mbaya na ngumu kupita kawaida yaan ngumu zaid ya kawaida
 

2014 nilikuwa na wafanyakaz karibia 50 ila sahiz wamebaki 21 na ntazid kupunguza hali ni mbaya sana
 
Kuwa mwelewa hao ni wawili wanaofanikiwa kati ya mia.
 
Inasikitisha!!!nikupe pole ndugu yangu

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 


Kiukweli hali ni ngumu kuliko ngumu yenyewe, hata nashindwa cha kuandika..!! Uhalisia ndio huo..!!
 
Utafanya nini hiyo october boss,,,? Kama unadhani kuna uchaguzi unajidanganya october ni kupoteza muda tu heri hiyo siku utafute ugali wa watoto wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…