Magamba matatu walipanga I we hivi mwaka 2012 huyu katumwa tuu afanye hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mwaya, tatizo serikali inafanya biashara na taasisi za serikali kwahyo kampuni nyingi binafsi ambazo zilikuwa suppliers wa serikali na walipa kodi wazuri zinakufa taratibu. Mungu akusaidie ila atusaidie na sisi maana cjui kama 2020 tutafika salama kama mambo yataendelea hivi.Mm nmetoka leo kupoteza kibarua changu rasmi biashara imefungwa. Wala sio kwasababu ya maamuzi ya bosi. Hapana biashara haiko vzur hata ww mfanyakazi unaona kabisa kuwa ikiendelea hivi bas kibarua kinaota nyasi..
Hatimae siku imefika nimerud mtaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah pole Sana jamaa yangu...kaa chini tulia omba Mungu endelea kupambana..Mungu ni mwema hutakosa ridhki muhimu usikae tu kusubiri..Mm nmetoka leo kupoteza kibarua changu rasmi biashara imefungwa. Wala sio kwasababu ya maamuzi ya bosi. Hapana biashara haiko vzur hata ww mfanyakazi unaona kabisa kuwa ikiendelea hivi bas kibarua kinaota nyasi..
Hatimae siku imefika nimerud mtaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuuNina miaka 18 kwenye biashara katika kipindi chote hicho,Nimepitia milima na mabonde.” Yani changamoto” Kitu ambacho ni cha kawaida kwenye biashara yoyote.
Lakini leo nakiri kwamba, Awamu hii imeuwa juhudi za watu wengi kufikia malengo yao kibiashara, Biashara zimeyumba kabisa, Mauzo yameshuka kwa asilimia zaidi ya 70, huku mitaji mingi ya wajasiria mali ikiteketea.
Kinachoogopesha zaidi, Sioni juhudi zozote za makusudi kuokoa hali hii mbaya. Jamaa zangu wengi wameshindwa kulipia school fees,Wengine wameshindwa kulipia mapango ya frem,Wengine ndoa zao zimevunjika na wengine wamepata stroku.
Lakini tukiwasikiliza viongozi wetu wanasema tupo pazuri. Najiuliza pazuri wapi?
Mwanzoni nilijua labda baba anafanyia nyumba usafi, Cha kushangaza tunamaliza miaka tano hali imekuwa tete zaidi ya tulipo toka.
Kuna hitajika jitihada za ziada kwenye uchumi wetu tena kwa speed kubwa la sivyo tutazalisha taifa la wamachinga na wapiga vibomu. Maana soon kodi za pango na serekali hazitalupika tena.
Natamani hii biashara yangu nimpe bure Dr mpango aiendeshe kwa miezi tu ili ajue hali halisi sio kukaa ofisini huku tukimlipa mshahara mnono bila kusaidia uchumi wetu.
Dr. Mpango mweleze rais hali mtaani ni mbaya,Watu tunapiga kazi asubuhi mpaka jioni lakini tunatoka kapa kila siku.
Halafu nimegundua ukiwa na hali mbaya mfukoni na majukumu ndio yanabisha hodi kwa kasi kweli kweli.
Hivi ilani ya chama ndio ilinadiwa kutekeleza hali iwe ngumu hivi? Tukutane mwakani october tuelezane kwa vitendo.
mmh.! unafanya biashara gani hiyo ambayo unapitia mabondeni na milimani.?
bila shaka we ni muuza dawa za kulevya au ndo wale wasiojulikana.
Mwehu kabisa wewe, utani kataniane na wehu wenzako sisi tunazungumzia hali halisi wewe unaleta upuuzi.halafu kwanini upitie mabondeni na milimani.? ina maana huko mjini kwenu hakuna barabara.?
Nini? Kumuabudu mwehu?mkuu
si tunaongozwa na malaika na kila siku watu wana msifu na kumuabudu?? au ww umeshindwa kumsifu na kumuabudu??
Mm nmetoka leo kupoteza kibarua changu rasmi biashara imefungwa. Wala sio kwasababu ya maamuzi ya bosi. Hapana biashara haiko vzur hata ww mfanyakazi unaona kabisa kuwa ikiendelea hivi bas kibarua kinaota nyasi..
Hatimae siku imefika nimerud mtaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa mwelewa hao ni wawili wanaofanikiwa kati ya mia.Tunalalamika sisi ila kuna watu hata hawaelewi ukisema hiki kitu..Juzi kuna wateja wamekuja Kazini kwangu Madili ya hela waliyokua wanapiga Tena ni ya Halali kabisa wala sio wezi wala mafisadi Si ya kawaida watu wanapiga hela bwana..Nikasema Awamu hiii ina biashara na biashara na Mitaji na Mitaji.
Siku yakikukuta ndio utajua kuimba kupokezanahalafu kwanini upitie mabondeni na milimani.? ina maana huko mjini kwenu hakuna barabara.?
Inasikitisha!!!nikupe pole ndugu yanguMm nmetoka leo kupoteza kibarua changu rasmi biashara imefungwa. Wala sio kwasababu ya maamuzi ya bosi. Hapana biashara haiko vzur hata ww mfanyakazi unaona kabisa kuwa ikiendelea hivi bas kibarua kinaota nyasi..
Hatimae siku imefika nimerud mtaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina miaka 18 kwenye biashara katika kipindi chote hicho,Nimepitia milima na mabonde.” Yani changamoto” Kitu ambacho ni cha kawaida kwenye biashara yoyote.
Lakini leo nakiri kwamba, Awamu hii imeuwa juhudi za watu wengi kufikia malengo yao kibiashara, Biashara zimeyumba kabisa, Mauzo yameshuka kwa asilimia zaidi ya 70, huku mitaji mingi ya wajasiria mali ikiteketea.
Kinachoogopesha zaidi, Sioni juhudi zozote za makusudi kuokoa hali hii mbaya. Jamaa zangu wengi wameshindwa kulipia school fees,Wengine wameshindwa kulipia mapango ya frem,Wengine ndoa zao zimevunjika na wengine wamepata stroku.
Lakini tukiwasikiliza viongozi wetu wanasema tupo pazuri. Najiuliza pazuri wapi?
Mwanzoni nilijua labda baba anafanyia nyumba usafi, Cha kushangaza tunamaliza miaka tano hali imekuwa tete zaidi ya tulipo toka.
Kuna hitajika jitihada za ziada kwenye uchumi wetu tena kwa speed kubwa la sivyo tutazalisha taifa la wamachinga na wapiga vibomu. Maana soon kodi za pango na serekali hazitalupika tena.
Natamani hii biashara yangu nimpe bure Dr mpango aiendeshe kwa miezi tu ili ajue hali halisi sio kukaa ofisini huku tukimlipa mshahara mnono bila kusaidia uchumi wetu.
Dr. Mpango mweleze rais hali mtaani ni mbaya,Watu tunapiga kazi asubuhi mpaka jioni lakini tunatoka kapa kila siku.
Halafu nimegundua ukiwa na hali mbaya mfukoni na majukumu ndio yanabisha hodi kwa kasi kweli kweli.
Hivi ilani ya chama ndio ilinadiwa kutekeleza hali iwe ngumu hivi? Tukutane mwakani october tuelezane kwa vitendo.
Utafanya nini hiyo october boss,,,? Kama unadhani kuna uchaguzi unajidanganya october ni kupoteza muda tu heri hiyo siku utafute ugali wa watoto wakoNina miaka 18 kwenye biashara katika kipindi chote hicho,Nimepitia milima na mabonde.” Yani changamoto” Kitu ambacho ni cha kawaida kwenye biashara yoyote.