SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
CCM ni genge linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala. Nyie CCM hamkubaliki kabisaIli chama kichukue dola lazima kikubalike kwa wananchi kuwa kina uwezo wa kutatua shida,kero na matatizo ya wananchi baada ya chama tawala kufeli.
Chadema haijajenga imani kwa wananchi kuwa ni chama chenye uwezo wa kutawala na kutatua kero za umma.
Wazambia wanajua kuwa ili kero zao zitatuliwe lazima kije chama mbadala.
Hapa Tanzania hali si hivyo,maana mbadala wa Ccm bado bado sana.
Tukubali ukweli
Kigololi kikikushuka lazima uitaje Chadema kwani huko CCM hakuna mabasha wa kukurekebisha?Mkuu umegusa penyewe.
OK. Poa tu. Hata Magufuli mlisema atatawala miaka 30!Ili chama kichukue dola lazima kikubalike kwa wananchi kuwa kina uwezo wa kutatua shida,kero na matatizo ya wananchi baada ya chama tawala kufeli.
Chadema haijajenga imani kwa wananchi kuwa ni chama chenye uwezo wa kutawala na kutatua kero za umma.
Wazambia wanajua kuwa ili kero zao zitatuliwe lazima kije chama mbadala.
Hapa Tanzania hali si hivyo,maana mbadala wa Ccm bado bado sana.
Tukubali ukweli
Jikite kwenye mada.OK. Poa tu. Hata Magufuli mlisema atatawala miaka 30!
Ni ukweli kabisa, Chadema haijawahi kuaminiwa na watanzania. Watu wanaiona kama chama cha wahuni fulani na mawakala wa mabeberu. Hili la ugaidi ndilo sasa limeipeleka rasmi topeni.
Nakubaliana na wewe Sasa ushauri wanguIli chama kichukue dola lazima kikubalike kwa wananchi kuwa kina uwezo wa kutatua shida,kero na matatizo ya wananchi baada ya chama tawala kufeli.
Chadema haijajenga imani kwa wananchi kuwa ni chama chenye uwezo wa kutawala na kutatua kero za umma.
Wazambia wanajua kuwa ili kero zao zitatuliwe lazima kije chama mbadala.
Hapa Tanzania hali si hivyo,maana mbadala wa Ccm bado bado sana.
Tukubali ukweli
Ili chama kichukue dola lazima kikubalike kwa wananchi kuwa kina uwezo wa kutatua shida,kero na matatizo ya wananchi baada ya chama tawala kufeli.
Chadema haijajenga imani kwa wananchi kuwa ni chama chenye uwezo wa kutawala na kutatua kero za umma.
Wazambia wanajua kuwa ili kero zao zitatuliwe lazima kije chama mbadala.
Hapa Tanzania hali si hivyo,maana mbadala wa Ccm bado bado sana.
Tukubali ukweli
Yanaweza kutokea usivunje watu moyo,Ili chama kichukue dola lazima kikubalike kwa wananchi kuwa kina uwezo wa kutatua shida,kero na matatizo ya wananchi baada ya chama tawala kufeli.
Chadema haijajenga imani kwa wananchi kuwa ni chama chenye uwezo wa kutawala na kutatua kero za umma.
Wazambia wanajua kuwa ili kero zao zitatuliwe lazima kije chama mbadala.
Hapa Tanzania hali si hivyo,maana mbadala wa Ccm bado bado sana.
Tukubali ukweli
Mlisema Magufuli wenu atatawala miaka 30 huku mkimiminia Tundu Lissu risasi, akafa Magufuli.Not true madame.
umenena kweli.
Bado kwa sasa Tanzania hatuna Chama cha Upinzani Imara na Madhubuti, angalu kati ya mwaka 2000, 2005 na 2010 vyama vya upinzani vilikuwa imara na madhubuti kwa sababu vilikuwa na viongozi imara. lkn kuanzia mwaka 215, 2020 vyama vya upinzania vimekosa viongozi madhubuti ndio maana tumeshuhudia inapo fika kipindi cha uchaguzi Mkuu vina kopa viongozi viongozi wa kugombea nafasi ya Urais.
yaani vyama vya upinzani kwa Tanzania vipo kwa ajili ya kula ruzuku.
Kama viongozi Hawa c madhubuti kwanini mliwapiga risasi 16umenena kweli.
Bado kwa sasa Tanzania hatuna Chama cha Upinzani Imara na Madhubuti, angalu kati ya mwaka 2000, 2005 na 2010 vyama vya upinzani vilikuwa imara na madhubuti kwa sababu vilikuwa na viongozi imara. lkn kuanzia mwaka 215, 2020 vyama vya upinzania vimekosa viongozi madhubuti ndio maana tumeshuhudia inapo fika kipindi cha uchaguzi Mkuu vina kopa viongozi viongozi wa kugombea nafasi ya Urais.
yaani vyama vya upinzani kwa Tanzania vipo kwa ajili ya kula ruzuku.
Shida kubwaa kwenye vyama pinzani ni ubinafs na njaa za viongozi. Ubinafsi inakuwa karibu kila kiongozi anataka asimame yeye kama mgombea wa Uraisi ni wagumu sana kukubaliana mmoja asimame kwa niaba ya wote, Na njaa ni kwa viongozi ambao wako kimaslahi kwamaneno mengine wananunulika!Ili chama kichukue dola lazima kikubalike kwa wananchi kuwa kina uwezo wa kutatua shida,kero na matatizo ya wananchi baada ya chama tawala kufeli.
Chadema haijajenga imani kwa wananchi kuwa ni chama chenye uwezo wa kutawala na kutatua kero za umma.
Wazambia wanajua kuwa ili kero zao zitatuliwe lazima kije chama mbadala.
Hapa Tanzania hali si hivyo,maana mbadala wa Ccm bado bado sana.
Tukubali ukweli
Acha kuropoka.Shida kubwaa kwenye vyama pinzani ni ubinafs na njaa za viongozi. Ubinafsi inakuwa karibu kila kiongozi anataka asimame yeye kama mgombea wa Uraisi ni wagumu sana kukubaliana mmoja asimame kwa niaba ya wote, Na njaa ni kwa viongozi ambao wako kimaslahi kwamaneno mengine wananunulika!
Wewe nawe umeshakuwa kama vile una ubongo wa maji, kusema kweli huna akili. Ngoja niishie hapo maana una propaganda zisizo na kichwa wala miguuIli chama kichukue dola lazima kikubalike kwa wananchi kuwa kina uwezo wa kutatua shida,kero na matatizo ya wananchi baada ya chama tawala kufeli.
Chadema haijajenga imani kwa wananchi kuwa ni chama chenye uwezo wa kutawala na kutatua kero za umma.
Wazambia wanajua kuwa ili kero zao zitatuliwe lazima kije chama mbadala.
Hapa Tanzania hali si hivyo,maana mbadala wa Ccm bado bado sana.
Tukubali ukweli
Everything has its beginning. What's wrong here. Dalili za akili ndogo
Ndoto za mchana zinasaidia mtu awe na matumaini ya kuishi.Mlisema Magufuli wenu atatawala miaka 30 huku mkimiminia Tundu Lissu risasi, akafa Magufuli.
Sasa mnawasema Chadema eti miaka 20 hawajakubalika - nyie mtakufa halafu Chadema watakubalika hatimaye!
Sawa, mtasubiri sisi watanzania wote tufe ndiyo Chadema itawale!.Mlisema Magufuli wenu atatawala miaka 30 huku mkimiminia Tundu Lissu risasi, akafa Magufuli.
Sasa mnawasema Chadema eti miaka 20 hawajakubalika - nyie mtakufa halafu Chadema watakubalika hatimaye!
UKweli ni kwamba mifumo ya kiusalama na vyombo vya dola havijawakubali wapinzani...na kwa katiba hovyo,tume ya uchaguzi hovyo iliyo na makada wa Ccm..wapinzani wasahau,wanachotakiwa kufanya wafanye yale yaliyowakuta USSRIli chama kichukue dola lazima kikubalike kwa wananchi kuwa kina uwezo wa kutatua shida,kero na matatizo ya wananchi baada ya chama tawala kufeli.