Kwa miaka 5 Magufuli alikopa Trilioni 36, kwa miezi 6 Mama amekopa Trilioni 10, Ndugai yuko sahihi, spidi ya kukopa ni kubwa sana.

Kuna miradi haikutakiwa kufanywa maana Haina tija.Kuamia Dodoma,ujengaji wa Ikulu mpya Dodoma.
Pia tumuulize Kikwete pesa ya gesi yetu ya Mtwara ipo wapi.
 
Rubbish,if you don't have Understanding mind keep quiet
 
Reactions: Ame
Miaka 60 ya uhuru huwezi kukopa ili ukajenge madarasa na vituo vya afya, labda kama hiyo nchi ni changa......haya kakopeni mkajenge na matundu ya vyoo.
Kwa hiyo kama yanahitajika ulitegemea iwaje? Ndio miaka 60 hiyo sasa madarasa bado na vituo vya afya bado..

Ona hapa Wananchi wanasafiri km zaidi ya 100 kufuata huduma za afya ,we unaona wanatakiwa kuachwa?

Mara nyingi huwa nasema nyie watu wa mjini kwanza hampigi kura pili mna options nyingi kutoka private sector kiasi kwamba Serikali ikijenga huduma yoyote mjini haiondshi kuwa na tija kulinganisha na Vijijini.

Kwa hiyo nyie wa town endeleeni kupiga soga mitandaoni lakini maana halisi ya maendeleo wanaona watu wa Vijijini.

Na mkikaa hapo town mnadhani kila sehemu iko kama hapo town







 
Kweli wewe hujui chochote na huelewi chochote.

Daraja la salenda mkopo aliomba kikwete, mchakato wote wa ujenzi, upatikanaji mkandarasi ulikua umekamilika enzi za kikwete na sio Magufuli.

Ungeweza kua na hoja kama ungekua unaelewa unachokiandika.
 
Kwann tukope kwann tusichochee uzalishaji kwanza nchini Ili export ikue tupate mapato ya kufanya maendeleo yetu
 
Deni la taifa bado ni himilivu....

Profesa Luoga amefafanua kitaalamu kuwa hatujafika hata nusu ya asilimia 70 ya "cap" ya kukopa.....

#Siempre JMT[emoji120]
#Siempre SSH[emoji120]
Je kaweka mchanganuo wa madeni yuliyokopa na yametumikaje?
 
Mazingira aliyowacha Magufuli yanamlazimisha mama kukopa. Jiwe kaacha nchi ipo juu ya mapipa kuichumi na miladi yote aliyoanzisha hakuna uliokamilika
 
Ikatae CCM na matendo yake yote kwa moyo wako wote,ili nchi iingie paradiso
 
Mkuu tunaongelea mikopo ya 36T na 10T katika kipindi cha miaka 5 na kile cha miezi 10. Ni vema tukajua fedha hizo zilitumikaje ili tujue nani kakopa kwa tija na nani katuingiza mkenge.
Hujui kusoma, au? Ndiyo maana tukasema miradi ya JPM inaonekana. Bi Mkubwa mradi wake mkubwa ni UVIKO-19 labda na ile filamu yake ya Mzungu.
 
TAKWIMU ZA KUBUNI. MAGUFULI HAJAKOPA TRILION 36; UMEONGEZA NAMBA
 
Kazi zilizofanywa na JPM zinaonekana wazi, na huo ndo ushahidi kwamba mzee alikopa lakini pia alikuwa na ubavu wa kusimamia matumizi ya fedha hizo.
Wakati huo Wahuni hawakuweza kusogeza hata pua zao kuwania unufaikaji wa fedha hizo.
 
Acha aendelee maana na yeye mfanyabiashara kwa hio anachukua chake mapema.
 
Deni la taifa bado ni himilivu....

Profesa Luoga amefafanua kitaalamu kuwa hatujafika hata nusu ya asilimia 70 ya "cap" ya kukopa.....

#Siempre JMT[emoji120]
#Siempre SSH[emoji120]
Cap ya kukopa iliyoweka na nani?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…