Kwa miaka mitano kuanzia mwaka 2015 mali nyingi za Chadema yetu zimepotea. Tuunde tume kuchunguza zilipo mali zetu zikiwemo Ford Ranger za M4C

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Ofisi nyingi mikoani zimefungwa huku mali nyingi za chama zikiwa hazijulikani zilipo. Tuunde tume ili kujua mali za chama zilipo. Nyingi ya mali za chama zilipotea kuanzia mwaka 2015 baada ya uchaguzi mkuu.

Sio kwamba watu hawaoni wanaona kabisa kuwa mali nyingi zimepotea hovyo hovyo.
 
Tunataka katiba mpya
 
We mwana CCM umewaingilia CHADEMA kwa style ya kuvaa gwanda, ujinga ni kuwa unashindwa kuwashambulia kwa criticism za kujenga ili wasikubaini kuwa ni mamluki uliye na ajenda chafu.
 
We punda wa kijani tulia
 
We mwana CCM umewaingilia CHADEMA kwa style ya kuvaa gwanda, ujinga ni kuwa unashindwa kuwashambulia kwa criticism za kujenga ili wasikubaini kuwa ni mamluki uliye na ajenda chafu.
Mimi nasema kweli tu hata wakichukia is up to them.
 
Tangu lini CHADEMA walikuwa na Ford Ranger? Acha uongo. Hakuna ofisi mikoani iliyofungwa na Kama kweli wewe Ni mwanachama wa CHADEMA ungelijua taarifa za Mali unazipata wapi. Taarifa za Mali za CHADEMA zipo Chini ya Baraza la wadhamini.
 
Dah, sasa kwa nini usikae kimya?
 
Kwa miaka mitano kuanzia 2020 tuna Tanzania ya aibu ambayo Rais fisadi anahamasisha ufisadi kwenye serikali yake tena kupitia TV ya Taifa🤡🤡🤡
Your browser is not able to display this video.
 
CCM bwana. Ilipoibiwa 1.5 trillion wala hamkuona. Nyie ccm nani kawaloga?
 
Gaidi alishajimirikisha mali zote lakini nyumbu wanarukaruka tu!
 
Mnafiki wa mwisho wewe. Umekalia kuisema CHADEMA Kila siku, hakuna siku hata moja umewahi hata kupongeza Jambo moja. Kama unaipenda CCM hamia huko achana na CHADEMA. Ndio maana unalipishwa tozo na kodi, ila uongozi wanapewa watoto wenye nchi.
 
Umekalia majungu mwanaume mzima. Wakati CHADEMA inapitia kipindi kigumu wewe unafikiria mali. Ulaaniwe milele.
 
Hivi huko lumumba wewe assignment yako uliyopewa ni kudeal na chadema tu? Maana sjawahi kusoma mada yeyote unayoanzisha tofauti na kuinanga chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…