Kwa miaka yetu ilikuwa ngumu sana kuwa shoga. Unaanzaje kwa mazingira yale?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Umesoma shule za kibabe hasa kama Kantalambo, Mazwi, Urambo, Lutengano, Ndembela, Iyunga, Tabora Boys, Majengo, Ruvu, Kibiti n.k

Unaanzaje kuwa shoga? Lazima matako yatakaza tu nakwambia. Kazi za mbilingembilinge za huko. Darasa likipiga kelele wanakuja walimu pale mlangoni wamejipanga na kila mtu ana sticks zake za kutosha. Walimu 10-20 wanatandika ipasavyo huku mkitolewa nje mmoja mmoja.

Baada ya hapo mnapewa zoezi la kwenda kukata kuni, mkirudi mnaenda kupalilia shamba. Kisha ndo mnarudi bwenini mkale na kujiandaa na preparation ya kusoma. Na bado muda wa "prepo" hatakiwi mtu bwenini. Wote mkasome mpaka saa 4 usiku.

Miaka ile lazima spring na nuts za nyuma zikaze tu. Unaanzaje kuwa shoga? Ni uboooh tu unaimalika maana ukichapwa makalioni mishipa ya kwenye uume ina imalika. Yaani wanakuchapa kurudisha akili juu ambazo zilikuja tuama kwenye makalio.

Shule za Mbeya, Rukwa, Ruvuma, Iringa, Kinjaro,Arusha zilikuwa na mchakamchaka asubuhi. Kabla hamjaingia darasani. Unazembeaji?

" Idd amini akifa...
Siwezi kulia
Nitamtupa Kagera awe chakula cha Mamba"

Au

" Jua lile literemke mama
Jua lile literemke mama"

Nuts zote mwilini zinakaza na akili inakuwa fresh. Usijichanfanye ukafanya kosa akaenda itwa mzazi.

Maana utachapwa na walimu halafu mzazi atatizama wakimaliza, atasema huyu mbona mmempapasa tu? Leteni fimbo niwaoneshe jinsi ya kupiga, anakuchapa kama anataka kumuua nyoka, tena nyoka mwenyewe anaconda. Unachapwa baadaye anaanza kukupiga ngumi, vichwa na vifuti.

Hapo walimu tena wanaanza kukugombelezea usije ukauawa na mzazi. Ukiachwa hapo upo hoi umetepeta mwili mzima. Unaenda kuuguza majeraha. Ila sasa akili inakukaa sawa kuwa inabidi usome uache ufalah.

Siku hizi vitoto akili zinashuka zinapita matakoni zinakuja hadi miguuni kabisa. Mwalimu anajaribu kuzirudisha juu mnamjia juu? Kweli? Hawa watoto wamekuwa mdebwedo sana. Ndio maana waarabu na wazungu wanawashika makalio n.k

Miaka yetu sisi hata bahati mbaya ukimgusa mwanaume mwenzio kalio kabla hujasema samahani tayari kuna meno kadhaa yanalegea au yameshaanguka. Unaishia kusema

'thamahani thikukuthudia yaani kupitha tu nyuma yako ndio unanipiga hifi"
Hapo meno ya mbele hayapo so huwezi tamka maneno vizuri.

Sisi ndio tumesoma shule na kuwa na akili siyo sasa, hivi vitoto mnavyolea sasa ni janga huko mbeleni. Ndio vitaandamana vikitaka haki za ushoga. Mimi nawaambia, kitoto unakiona kivulana kinalamba lamba lips na kinatembea huku kinakata kiuno?

Anyway...walimu msitoe adhabu kwa wanafunzi. Huo ni ukatili kwa watoto. Waacheni.

Nimekaa tu nikakumbuka shule zetu sisi tuliosoma miaka ya late 70s na 80s. Acheni masikhara nyie... Sisi ndio tulipelekwa kupata mafunzo hasa shuleni.
 
Mashoga na ushoga again!!!

Kazi ipooooo,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mashoga na ushoga again!!!

Kazi ipooooo,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hivi katika mada kumi basi lazima 3 zizungumzie ushoga.
 
Watoto wenyewe walaini ukiwakimbiza mchakamchaka na kuwapa kazi ngumu wanaanguka au wanakufa unapata kesi
 
Wajomba na baba wadogo ndio waliowaharibu kizazi cha nyuma kuwa mashoga, sababu ni kushea vyumba na watoto
 
Umeongea ukweli kabisa japo utadhihakiwa, malezi yamepungua, zamani kulikuwa na ushirikiano mkubwa katika kumshape mtoto kati ya walimu na wazazi, zamani mzazi akiitwa shule Kwa ajili yako yaani aache shughuli zake kwa upumbavu wako hiyo imekula kwako, na wazazi walikuwa na ushirikiano sana leo mzazi anaweza aitwe shule na asiende na wala asiufuatilie mwito wake na akawa na amani mambo yakiharibika atupie lawama kwa walimu
 
Kadiri unavyozidi kukiongelea kitu ndivyo unavyozidi kukipromote badala ya kukididimiza.

Akili yako inawaza ushoga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…