Kwa mikopo hii, Mwalimu huyu sidhani kama afya ya akili ipo sawa

Kwa mikopo hii, Mwalimu huyu sidhani kama afya ya akili ipo sawa

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Mikopo juu ya mikopo, huyu mwalimu kazini anakuwaje na ufanisi? Cc; Mpwayungu Village
db16e78f-f7af-401b-94b8-7beb9b86d465.jpeg
 
Kama amekopa mwenyewe bila kulazimishwa na mtu yeyote sawa tu. Mikopo ni kawaida kwa watumishi
 
Kawaida sana hiyo. Mtu mshahara wako 2.3 lakini benki inaingia 175,000 Kwa makato ya mikopo kibao. Uzuri hiyo mikopo ndo onaendesha maisha kwenye miradi
 
Kaulize kwenye local Security guard companies wanalipwa baada ya siku 45 mpaka 50's

Huko mikoani kawaida mshahara wa 100k mpk 120k

Huku dar es salaam Security guard companies local wanalipa 250k watu Wana familia na wanaishi kabisaa ogopa mzeee
Mmmmmh siku 45 daaah aiseeee kusema pesa ndo ngumu kiasi hiki mkuu....

Daaaah sasa tunapoelekea ni bora tukimbilie kulima tuu mkuu
 
Biashara anayofanya imekataa kumlipa...
Angekuwa ana win..hiyo 14m angelipa hiyo 6m ya juu...anachukua mkopo anaweka kweny biashara, anakula hasara anarud tena kukopa
 
Litakufa jitu....

Afu ndo mnataka mtoto afundishwe afaulu bila buku jerojero za kila Ijuma😂

#HATA KAMA NINGEKUA MIMI.
 
Back
Top Bottom