Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Lengo la wakubwa huko duniani ni kuhakikisha kuwa hatujikomboi na tunaendelea kuwatumikia.
Kwa hali ya mambo ilivyo nchini hususan kwenye swala Zima la demokrasia na ukaribu wetu na Mchina naviona vikwazo vya kiuchumi vikituangukia siku sio nyingi.
Sababu itakuwa ni kukosekana kwa demokrasia na uwazi katika serikali. Vikwazo vitakuja ili tushindwe kulipa madeni na kuendesha miradi husika.
Tukumbuke SGR ishapata mpinzani wa kutoka Kongo hadi Angola (Lobito). Tuendelee kupambana kunguru wafurahi.
Sote sisi ni Watanzania kwanini tubaguane na kuogopana? Mbona kwenye simba na yanga tunafurahia na hata huku majumbani tunaishi wa vyama tofauti tena kwa furaha na mizaha ya vijiweni!? Iweje walio juu wachukulie wengine ni majambazi?
Ukiwa kiongozi jiepushe na biashara na maamuzi yatakayokujaza hofu ya kung'atuka. La sivyo utaumiza wengi wasiokuwa na hatia