Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Jedwali linaonesha serikali itakopa walau trilioni 12 na pengine misaada ifikie trilioni 2.4
Makusanyo ya ndani wameweka trilioni 28 lakini uhalisia haivuki trilioni 23. Kwahiyo mikopo ni zaidi ya nusu ya makusanyo yote.
Maana yake wakikopa hivi kwenye bajeti za miaka minne ijayo (ukizingatia uwepo wa grace period) ni dhahiri kwamba itakuwa haiwezekani tena kukopesheka au kulipa deni ifikapo 2027.
Nchi itakuwa imefilisika rasmi na pengine itawekwa mnadani iuzwe vipande vipande.