Mchanga upo,Shimo la choo lipo tayali bado kujenga tu,lakini mambo hayaendi kabisaTulia jipange kwanza ndugu. Hiyo Milioni 3 ni pesa ya fundi, cement, mchanga , tofali au nondo?
Hiyo nyumba ni kubwa, kama umeshajenga msingi inua chumba kimoja na choo (hata hiyo bedroom 2) kwa kuacha matoleo kwenye tofali za mwisho ili baadae ukipata pesa nyingine uendelee, ukisema uinue vyumba viwili utakwamia njiani tenaMchanga upo,Shimo la choo lipo tayali bado kujenga tu,lakini mambo hayaendi kabisa
Ada + Kodi ninayopa hapa na hali ya mitaani sioni kesho yenye matumaini
Mungu ni mwema utafanikiwa!Mchanga upo,Shimo la choo lipo tayali bado kujenga tu,lakini mambo hayaendi kabisa
Ada + Kodi ninayopa hapa na hali ya mitaani sioni kesho yenye matumaini
KWa ajili ya Msingi inafaa sana hiyo 3milMoja kwa moja kwenye mada, hiyo ramani nimejenga msingi umekamilika.nilikuwa na matumaini mambo yangekuwa sawa nijenge boma niezeke lakini mambo yamegoma.
Kwa milioni TATU nifanyeje ili nikaishi kwangu? View attachment 2843511
Kwakweli ujenz mgumuKwa hiyo million 3 hutoboi, labda unyanyue chumba kimoja uweke bati la muda uingie
Zinafanya kazi ndugu,nimenunua tofali 800,cement mifuko 15, nanyanyua master na chumba kimoja,pia mbao 30( 5500) na mabati 30. Najua vitakamilika hata sio kwa ubora ila nitahifadhi familia kwa kipindi hikiNa wewe milioni tatu hapo itafanya kitu gani? Labda ununue tofali uziache hapo zipigwe na mvua wakati unajitafuta. Mawazo ya kuweka chumba kimoja sikubaliani nayo kabisa. Nyumba za kuungaunga uwa zinakosa mvuto
Gangamala jitufute ukijipata endelea na ujenzi. Kila jambo lina wakati wake wakati wako bado ila kwa hiyo ramani una vision
Zinafanya kazi ndugu,nimenunua tofali 800,cement mifuko 15, nanyanyua master na chumba kimoja,pia mbao 30( 5500) na mabati 30. Najua vitakamilika hata sio kwa ubora ila nitahifadhi familia kwa kipindi hiki
Nikushukuru kwa ushauri wako,nimeufanyia kazi na iko hivi ( Lengo sio kumtambishia mtu,ila somo na kutiana moyo) kama ulivyofanya kiongoziTamanio yako ninzuri na niyakisasa kwakua umeshajenga msingi, na shimo la choo lipo tayari pandisha vyumba viwili ili uanze maisha hapo alafu utamalizia kidogo kidogo
Mtazamo mzuri,lakini kwa mjini mjini,kama una familia inatakiwa angalau upange vyumba 2 na sebule, kwa hapa mkoani si chini ya 2,500,000 kwa Mwaka,pia utakuwa na nauli ,umeme na maji.Watu wengi hujenga kutokana na hofu ya maisha na sio hesabu za maisha.
Unapata Mil 5, unaanza kujenga. Nyumba yenyewe unajenga nje ya mji. Gharama za usafiri kwa mwezi zinakuwa zaidi ya kodi uliyokua unalipa. Nyumba yenyewe haikamiliki. Kwanini usiendelee kupanga. Zungusha hela hiyo. Huku ukijenga taratibu kutokana na faida unayoipata?
Ukianza jiuliza, 'je, hela hii itamaliza kupaua/itatosha?', jua unaingia kwenye mateso makubwa kimaisha.