Prosperity96
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 293
- 320
Hongera sana kwa kuamua kupiga hatua,kwa mimi ngekushauri uanze tu ujenzi hadi pesa itakapofikiaMchanga upo,Shimo la choo lipo tayali bado kujenga tu,lakini mambo hayaendi kabisa
Ada + Kodi ninayopa hapa na hali ya mitaani sioni kesho yenye matumaini