Prosperity96
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 293
- 320
Hongera sana kwa kuamua kupiga hatua,kwa mimi ngekushauri uanze tu ujenzi hadi pesa itakapofikiaMchanga upo,Shimo la choo lipo tayali bado kujenga tu,lakini mambo hayaendi kabisa
Ada + Kodi ninayopa hapa na hali ya mitaani sioni kesho yenye matumaini
Hongera..hebu pichaNashukuru kwa huu ushauri,niliiufuata na nimejenga vyumba 2 na nimehamia,ila haijakamilika 100%
Hongera sana sanaNashukuru kwa huu ushauri,niliiufuata na nimejenga vyumba 2 na nimehamia,ila haijakamilika 100%
Asante kwa ramaniš¤Moja kwa moja kwenye mada, hiyo ramani nimejenga msingi umekamilika.nilikuwa na matumaini mambo yangekuwa sawa nijenge boma niezeke lakini mambo yamegoma.
Kwa milioni TATU nifanyeje ili nikaishi kwangu? View attachment 2843511