Kwa mipango ya Redcross wabunge haramu msijiachie sana lolote baya laweza kuwakuta

Kwa mipango ya Redcross wabunge haramu msijiachie sana lolote baya laweza kuwakuta

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,148
Reaction score
2,032
Hehee! Mayii! Wajua kwa akili za wabunge haramu wanajua wapo kihalali na Jambo lilishapita. Hehee! Lapitaje. Jueni hizo posho zenyu zimejaa damu za ndugu zetu. Familia zenyu mwapeleka pesa za damu za ndugu zetu. Msifikiri siye mazuzu. Jichekesheni tuu. Jiachieni walahi.

Mwee! Lakini pesa za haramu tamu sio. Hehee! Mbona nanyi mtafurahia. Chekeleeni mpaka jino la mwisho. Kila jiwe litageuzwa msifikiri no samuya pekee.

Ima muachie au mwendelee nyonya damu za maiti za ndugu zetu. Na bado. Nasikia miili ya ndugu zetu mwaifanyia tambiko zenyu. Hee na bado
 
Back
Top Bottom