Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Hivi viwango vya mishahara kwa hawa wachezaji Wakigeni, wanavitendea haki vilabu vyao?
==
Kwa mujibu wa TurpaSports, hawa ndio wachezaji wa Kigeni wanaolipwa mishahara mikubwa zaidi Ligi Kuu Tanzania mwaka 2024, na viwango hivi ni kwa mwezi;

- Jhonier Blanco (Azam FC) – TSh. Milioni 65,951,750
- Stephane Aziz Ki (Yanga SC) – TSh. Milioni 30,337,805
- Clatous Chama (Yanga SC) – TSh. Milioni 26,380,700
- Steven Mukwala (Simba SC) – TSh. Milioni 26,380,700