Kwa Mishahara hii minono kwa Wachezaji hawa wa Kigeni Tanzania, Je, Wanavitendea haki Vilabu vyao?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Hivi viwango vya mishahara kwa hawa wachezaji Wakigeni, wanavitendea haki vilabu vyao?

==

Kwa mujibu wa TurpaSports, hawa ndio wachezaji wa Kigeni wanaolipwa mishahara mikubwa zaidi Ligi Kuu Tanzania mwaka 2024, na viwango hivi ni kwa mwezi;
  1. Jhonier Blanco (Azam FC) – TSh. Milioni 65,951,750
  2. Stephane Aziz Ki (Yanga SC) – TSh. Milioni 30,337,805
  3. Clatous Chama (Yanga SC) – TSh. Milioni 26,380,700
  4. Steven Mukwala (Simba SC) – TSh. Milioni 26,380,700
 
Chama huyu huyu anavuta 26m?
 
Yule kipa wa Azam, Amada alishamaliza mkataba? Si anakusanya 50m+ kwa mwezi yule?
 
Hapana eti mchezaji mshahara wa milioni 35 hana nishati lakinii mwenye mshahara wa laki 7 anamzidi nishati, hahaa haaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…