Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Kitendo cha huo mtego kuwepo tu mambo yashabadirika....................... Na macho ya kiume yalivyokosa adabu.........hukawii kuanza kurudia rudia kuangalia.........Kazi ipo!! Ila na MTEGWAJI hapo anatakiwa aondoke haraka kabla mambo hayajabadilika...
hatariiiiiiiiiiii hii
View attachment 16131View attachment 16130look hii style ya kutega nayo hapa chini,
Ha ha ha! basi hapo ukute mshikaji kapiga form 1 mpaka 6 seminarini halafu anakuja kuingia darasa la socialogy (aka vichangamsha macho) pale mlimani mambo huwa ni magumu sana, nina rafiki zangu waseminari walikuwa wana-complain sana hicho kitu. Na hiyo si kwa wanafunzi tu, hata walimu wa kiume nao wana wakati mgumu sana.