Kwa mitego hii elimu ya Chuo itapanda kweli?

Kwa mitego hii elimu ya Chuo itapanda kweli?

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
mitego_darasani.jpg

Ukisikia elimu ya chuo kikuu ni ngumu, fahamu kwamba siyo katika vitabu tu, ni pamoja na mambo na mitego ya kiuchozkozi kama hiiiiii! Based on true story!
 

Ha ha ha! basi hapo ukute mshikaji kapiga form 1 mpaka 6 seminarini halafu anakuja kuingia darasa la socialogy (aka vichangamsha macho) pale mlimani mambo huwa ni magumu sana, nina rafiki zangu waseminari walikuwa wana-complain sana hicho kitu. Na hiyo si kwa wanafunzi tu, hata walimu wa kiume nao wana wakati mgumu sana.
 
Kazi ipo!! Ila na MTEGWAJI hapo anatakiwa aondoke haraka kabla mambo hayajabadilika...
 

Umenikumbusha mbali sana. Wakati ule nasoma, si unajua tena mahesabu na accountancy yalikuwa yanapanda sana. Kuna siku nilialikwa kwenda kufundisha study group ya akina dada fulani, katika hao kulikuwa na chuma kimoja matata sana (mahips, kede kede) halafu kimevaa hivi vimini halafu kikanipigia nne. Mwana sikumudu kitu, hata zile hesabu za kitoto ambazo nilikuwa nazisolve kwa macho zilibadilika zikawa za engineering (complex). Yaani usipime
 
Kazi ipo!! Ila na MTEGWAJI hapo anatakiwa aondoke haraka kabla mambo hayajabadilika...
Kitendo cha huo mtego kuwepo tu mambo yashabadirika....................... Na macho ya kiume yalivyokosa adabu.........hukawii kuanza kurudia rudia kuangalia.........
 
Umenikumbusha mbali sana. Wakati ule nasoma, si unajua tena mahesabu na accountancy yalikuwa yanapanda sana. Kuna siku nilialikwa kwenda kufundisha study group ya akina dada fulani, katika hao kulikuwa na chuma kimoja matata sana (mahips, kede kede) halafu kimevaa hivi vimini halafu kikanipigia nne. Mwana sikumudu kitu, hata zile hesabu za kitoto ambazo nilikuwa nazisolve kwa macho zilibadilika zikawa za engineering (complex). Yaani usipime<!-- google_ad_section_end -->


Pole mkuu, inatokea hiyo
 
attachment.php
[/QUOTE]

chakufanya ni kumfanyia kitu cha kumkera ili asilirudie tena kuwafanyia na wengine hivyo
 
Huyo dada ni mlemavu kwani sipati picha akisimama atakuwa mrefu kiasi gani!
 
Huyo mtegwaji si akasomee hata chumbani kwake?
 
if it happened to me, seriously akilitegesha tigo hivyo najua anataka nimpige Pooooooooooooool, i must touch tigo believe me, i should hhhhaaaaaa, 1 sm distance, naenda hewani kama mzuri, maana wengi wko useeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeed like scrapers, so it depends, if it is like below 50% used napiga poooooooooooool, maana huyu mchokozi
 
Ha ha ha! basi hapo ukute mshikaji kapiga form 1 mpaka 6 seminarini halafu anakuja kuingia darasa la socialogy (aka vichangamsha macho) pale mlimani mambo huwa ni magumu sana, nina rafiki zangu waseminari walikuwa wana-complain sana hicho kitu. Na hiyo si kwa wanafunzi tu, hata walimu wa kiume nao wana wakati mgumu sana.

Hivi yule jamaa wa enzi zetu aliyekuwa anaitwa PUNCH alifia wapi?, hivi hawezi kufufuka?. Kunahaja ya kuanzisha University za Girls na Boys la sivyo tutapoteza vipaji...........
 
Back
Top Bottom