Tausi Mzalendo
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 1,470
- 722
wanaume wa zizazi cha .com!!
Unadhani ni dot.com tu shosti?
Miye hapa rafiki yake babu yangu alikumbwa na mkasa huu wa kubwagwa na hawara nje ya eti lake.
Kala pesa ya pensheni na hawara.Ilipoisha kauguaaa...hawara hana taimu kumuuguza!
mmh! wanawake tunamoyo,unamfungia mume wa mwenzio miezi as if ndondocha,unamchunaa ww! akibaki sifuri unamtimua arudi kwa mkewe akiwa mweupeeee!! muogopeni mungu na malaika wake wajameni!Unadhani ni dot.com tu shosti?Miye hapa rafiki yake babu yangu alikumbwa na mkasa huu wa kubwagwa na hawara nje ya eti lake.Kala pesa ya pensheni na hawara.Ilipoisha kauguaaa...hawara hana taimu kumuuguza!
Yaani!Patam hapo, na hawakomi wala kujifunza hawa watu...
Mtu ana mke na watoto anaenda malizia mshiko kwa awala, halafu anarudi kwa mkewe akiwa empty!
mmh! wanawake tunamoyo,unamfungia mume wa mwenzio miezi as if ndondocha,unamchunaa ww! akibaki sifuri unamtimua arudi kwa mkewe akiwa mweupeeee!! muogopeni mungu na malaika wake wajameni!
wanaume wa zizazi cha .com!!
Unadhani ni dot.com tu shosti?
Miye hapa rafiki yake babu yangu alikumbwa na mkasa huu wa kubwagwa na hawara nje ya geti lake.
Kala pesa ya pensheni na hawara.Ilipoisha kauguaaa...hawara hana taimu kumuuguza!
Yaani!
Ingekuwa weye ungefanyaje mwenzangu?
mmh! wanawake tunamoyo,unamfungia mume wa mwenzio miezi as if ndondocha,unamchunaa ww! akibaki sifuri unamtimua arudi kwa mkewe akiwa mweupeeee!! muogopeni mungu na malaika wake wajameni!
tamaa zao tu ndo zinawaponza,kwann unashindwa kuridhika na ulie/ulicho nacho!?? yan wanaboaaaLakini kani hao wanaume hadi wafanywe ndondocha, ina maana hawana akili au?
Tehe tehe tehe, unanikumbiusha jirani yetu aliepata pension akachukua tax kutoka Dar hadi TAnga (enzi hizo) akiwa na hawara yake.
Alikufa fukara wa kutupwa
kweli tuko katika kipindi cha mwisho wa siku za mwisho mwishoni.....!!!
mmmh nini....we huoni..!!??mhhhh! Haya wee!