Kwa Mkeo ni hospitali, kwa hawara ni 'love nest'....

Kwa Mkeo ni hospitali, kwa hawara ni 'love nest'....

Pamoja na weakness zetu mkipata wasaa muwashauri hao mnaowaita nyumba ndogo zetu wapunguze kuturoga pia sisi ni watoto wa wanawake wenzao........na ni waume wa wanawake wenzao pia

Takehome; Prove the following equation
ukielimisha mwanamke umeelimisha jamii = Ukistarehesha mwanamke umestarehesha jamii
 
Pamoja na weakness zetu mkipata wasaa muwashauri hao mnaowaita nyumba ndogo zetu wapunguze kuturoga pia sisi ni watoto wa wanawake wenzao........na ni waume wa wanawake wenzao pia



Hilo nalo neno; mimi napenda approach ya wazungu, mume anakucheat, unachofanya ni kudeal na concsious ya mwanamke mwenzio (nyumba ndogo). Unamfuata kwa upole na kuonesha jinsi gani anaathiri maisha yako na watoto innocent.
(wimbo Jolleen ulioimbwa na Dolly Parton)

Lkn hii ya kushindana,v kwanza inampa jeuri mwanaume (anagombewa); pili huyo other woman inampa sababu ya kuwork hard ili mwanaume asijinasue.
 
Pamoja na weakness zetu mkipata wasaa muwashauri hao mnaowaita nyumba ndogo zetu wapunguze kuturoga pia sisi ni watoto wa wanawake wenzao........na ni waume wa wanawake wenzao pia

Takehome; Prove the following equation
ukielimisha mwanamke umeelimisha jamii = Ukistarehesha mwanamke umestarehesha jamii

Hamna anaewaroga bali huwa mnajiroga wenyewe so akili yenu ndo inatakiwa ifanye kazi sawasawa! Be honest, mnapoendaga /mnapoamua kwenda kwa nyumba ndogo, vichwani mwenu huwa mnaamini nini??
 
You must be radical feminist. Hapo kwenye red tafadhari uwe makini kujua tofauti kati ya kitu mtu anachoongea na matendo yake halisi. Mara nyingi binadamu hupangilia maneno na matendo kulingana na hadhira inayomzunguka. Inawezekana dad anajua wazi kuwa hampendi hayo matendo, na akijua hicho wala hatakaa aweke wazi matendo yake kwenye familia. Unless utuambie huwa unakuwa naye katika anga zake zote. Pia kuna watu wanauwezo wa kutoa huduma kwa nyumba zote zikalidhika. What we have to know is the the relation between man and women is a social struggle like other social struggles such as class. Na katika hili kumhukumu mwanaume wala si solution kwenu, solutioni ni ninyi wanawake kushikama na kutambua role yenu kwenye society na mkihusisha mbinu za kutokomeza nyumba ndogo, Mimi naona wanaweke wanaokubali kuwa nyumba ndogo ndio waliti na saratani ya umoja wenu. Katika hili I am proud to be a man, mimi nikijua tu kuwa mtu anaiba mke wangu lazima acheze na mguu wa kuku

plz,ungesoma vizuri before making your conclusion,'ati radical',when i said am proud of my dad,i meant the fact that he has never done what the post has said,didnt tok bot yeye kua na nyumba ndogo..read btn the lines.
 
Nyumba ndogo zinapasua vichwa sana hapa jf, imekuwa ni kansa kwa wanandoa sasa.

Kweli ndugu yangu.Lakini nyumba ndogo zimekuwepo miaka yote toka zama za biblia na vitabu vingine.Na zimekuwa chanzo cha maanguko mengi. Cha msingi, mwanaume anapoamua kuwa na nyumba ndogo, katika ulimwengu wa leo, ajue anakaribisha balaa nyumbani kwake pale mkewe akijua, au pale nyumba ndogo itakapokaba kama kila kona.Maisha hayawezi kubakia sawa na shwari tena.Shetani ataifanya nyumba yenu kama maabara ya majaribio ya kila aina, mume ukiwa na nyumba ndogo, mkeo naye atakuwa 'nyumba ndogo ya mtu", nk.nk.

Kibaya zaidi dunia ya leo inatoa uwezekana wa kujaribiwa zaidi kuliko huko nyuma kwa sababu ya teknolojia za mawasiliano nk.Zamani siri iliweza kubakia siri, mke aliweza kufichwa nini kinachoendelea lakini siyo hivyo tena.Usilolojiua halikusumbui na ndio maana ndoa zilidumu.Siku hizi kuna kujua kwingi! Kujua huko kunasunbua na wahusika huamua kuchukua hatua ambazo mara nyingine ni mbaya.

Kuna msemo " ng'ombe akivunjika malishoni, hujikokota zizini kuugulia"Lakini kina baba wenye kuvunjika malishoni, mtakapojikokota zizini, mnaweza kukuta hakuna hata jani la kula, wala maji ya kunywa kwa sababu wanawake wa siku hizi hakubali kukaa na kusubiri kupokea majeruhi. Jitahidini kupungunza purukushani.
 
Msitulaumu sana jamani......mkikutana nao muwashauri hao nyumba ndogo zetu wapunguze kuturoga (limbwata) sie ni watoto wa wanawake wenzao....na ni waume wa wanawake wenzao pia


Ukielimisha mwanamke umeelimisha jamii = Ukistarehesha mwanamke umestarehesha jamii
 
Hamna anaewaroga bali huwa mnajiroga wenyewe so akili yenu ndo inatakiwa ifanye kazi sawasawa! Be honest, mnapoendaga /mnapoamua kwenda kwa nyumba ndogo, vichwani mwenu huwa mnaamini nini??


Kipipi......honestly; Kucheat c tabia nzuri na siiungi mkono but unakutana na msichana ana-challenges kibao za maisha unakuwa msaada kwake kwa mawazo na sometimes cash unaamini unamsaidia na yeye ana appreciate na kuanza kukusifu kuwa u mkarimu n o l that from there sasa ndo kutwa kiguu na njia kwa wataalamu wa kuvuta na kufunga (kwa maelezo ya wadada wenyewe.....no ask me names please)......as ninao friends wa kike na wanakiri kuwa nowadays kupigwa miba kama life yako iko poa ni kawaida sana.....

NB; It is not always the casel but inatokea sana
 
 
Last edited by a moderator:
tatizo ni kwamba mwanamke akishaolewa anakua hafanyi tena yale mambo yetu yaleee ya enzi zileeeee....! sasa mwanaume anajikuta kila sikua anamiss mambo mazuri na mama kila siku anajua yeye ni mke wa ndoa so anakua na kiburi.... hii ndio inawafanya wanaume wengi kuenda nje na kua na tabia hizo...!
 
these things can only be tolerated in Africa.
Mi nawashangaa wanawake, yaani we mtu akuache uangaike na watoto, alafu anarudi unampokea kwa mikono miwili na ukimwi juu. ivi kweli huu ni Upendo au ujinga? haingii akilini kabisa, kwanza na watoto utakuwa huwatendei haki, we imagine watoto wanajifunza nini kwa baba kama uyo
 
Back
Top Bottom