You must be radical feminist. Hapo kwenye red tafadhari uwe makini kujua tofauti kati ya kitu mtu anachoongea na matendo yake halisi. Mara nyingi binadamu hupangilia maneno na matendo kulingana na hadhira inayomzunguka. Inawezekana dad anajua wazi kuwa hampendi hayo matendo, na akijua hicho wala hatakaa aweke wazi matendo yake kwenye familia. Unless utuambie huwa unakuwa naye katika anga zake zote. Pia kuna watu wanauwezo wa kutoa huduma kwa nyumba zote zikalidhika. What we have to know is the the relation between man and women is a social struggle like other social struggles such as class. Na katika hili kumhukumu mwanaume wala si solution kwenu, solutioni ni ninyi wanawake kushikama na kutambua role yenu kwenye society na mkihusisha mbinu za kutokomeza nyumba ndogo, Mimi naona wanaweke wanaokubali kuwa nyumba ndogo ndio waliti na saratani ya umoja wenu. Katika hili I am proud to be a man, mimi nikijua tu kuwa mtu anaiba mke wangu lazima acheze na mguu wa kuku