Tausi Mzalendo
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 1,470
- 722
- Thread starter
-
- #21
Ngoja nitetee kwa hawara.......
Kwa hawara kazi ni moja tu ambayo haitajalisha ni muda gani umeenda
Kwa hawara kuna 'privacy' kama umeamua kwenda kupumzika, hakuna cha shangazi, shemeji, au vilio vya watoto, na hata simu unazima au wakikupigia unawaambia uko busy
Kwa hawara its all budhism, living for that particular moment, hawara hawezi kukusumbua sana kwa mijadala mikubwa ya kihistoria au mbele (future). Akiomba pesa kama unazo unampa, kama huna anakutoa baruti kishney
Kwa hawara kila kitu ni customized kwa ajili yako, na yako tu
Nyumba ndogo atakupikiaje supu wakati na yeye ana-mme wake?
Mbona wakifulia hao wanaume au wakiugua wanarudi nyumba kubwa?Hawara wapo kutoa changamoto kwa nyumba kubwa ambayo mara nyingi huwa dorooo
Hawara wapo kutoa changamoto kwa nyumba kubwa ambayo mara nyingi huwa dorooo
Hizi hadithi mbona zinafurahisha na kuchekesha!
Basi mwaya, kuna mwingine yeye alistaafu tena cheo kikubwa sana.Alikuwa na wake wawili tayari.
Bi mdogo yeye alikuwa anaishi naye kwenye jumba alilopangiwa na shirika.Bi mkubwa yeye akasema atakaa uswazi kwenye nyumba ya NHC. Baba yule alipostaafu akaenda kupanga nyumba kubwa tu mkewe na watoto na yeye wakahamia.Kama haikutosha, ile pensheni sijui aiiona kubwa sana, akaenda kumpangisha hawara.Punde akahama kwa mke wa pili na kwenda kuishi na hawara.Wakazaa na kuzaa!! Saa ngapi pesa hajakata! Alipoona maisha yamempiga changa, karudi kwa bi mdogo! ......
Hivi huwa wanashikwaga na nini hawa?
kumbe kuwa na nyumba ndogo sio issue aisee i can't believe this coming from a woman if at all your Avar represents who u r
Hah wengine hufungashiwa nguo zao kwenye rambo akarudi kwa Bi mkubwa!!
tamaa zao tu ndo zinawaponza,kwann unashindwa kuridhika na ulie/ulicho nacho!?? yan wanaboaaa
Hizi hadithi mbona zinafurahisha na kuchekesha!
Basi mwaya, kuna mwingine yeye alistaafu tena cheo kikubwa sana.Alikuwa na wake wawili tayari.
Bi mdogo yeye alikuwa anaishi naye kwenye jumba alilopangiwa na shirika.Bi mkubwa yeye akasema atakaa uswazi kwenye nyumba ya NHC. Baba yule alipostaafu akaenda kupanga nyumba kubwa tu mkewe na watoto na yeye wakahamia.Kama haikutosha, ile pensheni sijui aiiona kubwa sana, akaenda kumpangisha hawara.Punde akahama kwa mke wa pili na kwenda kuishi na hawara.Wakazaa na kuzaa!! Saa ngapi pesa hajakata! Alipoona maisha yamempiga changa, karudi kwa bi mdogo! ......
Hivi huwa wanashikwaga na nini hawa?
Ninge mkaribisha home na kumwambia zam yake kukaa nyumbani nami nimepata kijipesa naenda tumia sehem nikiishiwa ntarudi.
Na wabeba wanangu huyooo! Maana hapo kuna mengi na kaugonjwa anaweza kuletea[/QUOTE
Kama mna kajumba mlikojenga ukiondoka atauza hicho kijumba na kurudi kwa hawara. Afadhali uvumilie kwa ajili ya watoto
kwa 7bu unashindwa kuniridhisha...
mmh! wanawake tunamoyo,unamfungia mume wa mwenzio miezi as if ndondocha,unamchunaa ww! akibaki sifuri unamtimua arudi kwa mkewe akiwa mweupeeee!! muogopeni mungu na malaika wake wajameni!