Kwa Mkoa huu wa Mtwara hapa niwaambieni tu Ukweli Serikali kuwa mnapoteza muda wenu

Kwa Mkoa huu wa Mtwara hapa niwaambieni tu Ukweli Serikali kuwa mnapoteza muda wenu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wazazi na walezi wa wanafunzi wilayani Masasi mkoani Mtwara wamelazimika kuweka sahihi za kuingia mikataba ya kuhakikisha vijana wao wanafanya vizuri kwenye mitihani yao.

Lengo la mikataba hiyo ni kuwabaini baadhi ya wazazi wanaowarubuni watoto wao kutofanya vizuri, kwa madai ya kushindwa kuwasomesha ili kuwaozesha.

Chanzo: azamtvtz

Tokea zamani Wazazi wanawaambia Watoto wao WAJIFELISHE ili WAKAWAOZE wapate Hela nyie leo hii mtawaweza?
 
Back
Top Bottom