Doctor Mama Amon
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 2,089
- 2,725
Pole sana Mama Amon namba ya kituo cha miito ni +255 (0) 222 212 800, unaweza kuwachek pia Instagram brela_tanzania WhatsApp pia wanapatikana kwa namba hii +255735331003 au kuwatumia barua pepe maoni@brela.go.tzMheshimiwa Mkurugenzi wa BRELA,
Hizi ni zama za kidijitali, na tuko fourth industrial revolution.
Lakini hapo kwako BRELA kuna tatizo.
NImeingia mfumo wa ORS nimekwama.
Nimechukua namba za customer care wako, lakini zote naambiwa hazifanyi kazi. Yaani zimefungwa.
Naomba namba zinazofanya kazi tafadhali.
View attachment 1984314
User account recovery processMimi nina bahati pengine maana sijawahi kukutana na usumbufu wowote nikiwa na task yoyote brela.
Hebu tueleze shida yako nini pengine tunaweza kukusaidia before hujawasiliana na brela
Simu inaita na kuweka autoplay voice kwa nusu saa bila kupokelewa....Brela kuna Shida sana , jaribu hizi +255222212800
Ni shidaPole sana Mama Amon namba ya kituo cha miito ni +255 (0) 222 212 800, unaweza kuwachek pia Instagram brela_tanzania WhatsApp pia wanapatikana kwa namba hii +255735331003 au kuwatumia barua pepe maoni@brela.go.tz
Utakuta wamejazana makada wa ccm ambao tunajua hawana akili.Mheshimiwa Mkurugenzi wa BRELA,
Hizi ni zama za kidijitali, na tuko fourth industrial revolution.
Lakini hapo kwako BRELA kuna tatizo.
NImeingia mfumo wa ORS nimekwama, na hakuna namna ya kupata msaada wa haraka kutoka customer care office ya BRELA.
Nimechukua namba za customer care staff wako, lakini zote naambiwa hazifanyi kazi. Yaani zimefungwa.
Naomba namba za customer care staff wako zinazofanya kazi tafadhali.
View attachment 1984314
Hiyo 50k alimpa nani sasa wakati mambo yote yanafanyika online.Brela wanasumbua kinoma nina application nilikuwa nafanya mwezi sasa haijakamilika juzi kuna jamaa kafungua application akatoa na 50k siku mbili tu imekamilika daah ipo siku kuna mtu ntamshikisha pesa za takukuru
Mambo yanafanyika online lakini kuna kishoka alimpa number ya mfanyakazi wa pale ambae nae huwa anashughulikia application za onlineHiyo 50k alimpa nani sasa wakati mambo yote yanafanyika online.
Hiyo 50k alimpa nani sasa wakati mambo yote yanafanyika online.
RIP Magufuli hawa jamaa wanasumbua hivi ili uwape rushwa tu.Hata mimi nina maombi yapata miezi 2 sasa. ukipga wanasema hii tunairipoti. sijui tunahamisha mafile kwenda jengo jipya. yaani files za online zinahmishwa miezi 2.
Nafikiri Brela ingefutwa tu ikabuniwa kitu kingine.
Juzi nikampigia jamaa yangu kumuuliza akasema nimtumie elfu 50 kazi itakamilika kesho yake.
Navuta siku nyingine 7 ikigoma itabidi nilipie tu.
RIP Magufuli
Poleni sana, mimi nimesajili jina la biashara siku mbili na kesho yake nikasajili kampuni, baada ya siku tatu wakanitumia marekebisho ya kufanya na nilipofanya marekebisho nika upload tena documents, baada ya siku nne wakanitumia cheti cha usajili. Sikutoa chochote hata mia na maombi yote niliyafanya online nikiwa mkoani.Hata mimi nina maombi yapata miezi 2 sasa. ukipga wanasema hii tunairipoti. sijui tunahamisha mafile kwenda jengo jipya. yaani files za online zinahmishwa miezi 2.
Nafikiri Brela ingefutwa tu ikabuniwa kitu kingine.
Juzi nikampigia jamaa yangu kumuuliza akasema nimtumie elfu 50 kazi itakamilika kesho yake.
Navuta siku nyingine 7 ikigoma itabidi nilipie tu.
RIP Magufuli
hapo ukute labda serikali yenyewe ndio haina vidole huku tunaambiwa ina mkono mrefu 😀Serikali ina hili tatizo sana kwenye simu zake...
Hapo tatizo ni hazijasjiliwa kwa alama za vidole...
INAWEZEKANA mkuu, usipinge. Hata mimi nimeshuhudia tena bila kutoa hata mia kwa yeyote. Hakikisha tu documents zako zipo sawa.Acha unafiki wewe ni kishoka wao,huwezi kusajili kampuni brela kwa siku 4
Liangilie hili kwa mapana je ni kwa asilimia ngapi wamesaidiwa kama wewe na ni kwa asilimia ngapi wanalalamikia huduma mbovu?
Serikali haipaswi kuhudumia wananchi kwa kubahatisha ni wazi Brela wameshindwa ni bora ziwekwe ofisi kila mikoa kama Sumatra,latra,n.k
Brela wanasumbua kinoma nina application nilikuwa nafanya mwezi sasa haijakamilika juzi kuna jamaa kafungua application akatoa na 50k siku mbili tu imekamilika daah ipo siku kuna mtu ntamshikisha pesa za takukuru