Kwa mkwanja huu wa Chama na Miquissone, wewe ungeweza kubaki Simba Sc?

Kwa mkwanja huu wa Chama na Miquissone, wewe ungeweza kubaki Simba Sc?

Amekwambia nani mapengo yao yanaweza kuzibwa.?

Mpaka leo pengo la Okwi (Winga wa kushoto) bado halijaweza kuzibwa vyema. Morrison ndio tia maji tia maji katika eneo lile. Lakini bado hajaweza kuimudu nafasi vyema.
Kama pengo la okwi halijazibwa na tunachukua makombe kuna haja gani ya kuziba hilo pengo?
 
Kwa hiyo baada ya mauzo, hela za hao wachezaji zimeingizwa kwenye akaunti ipi? Ya Moo au ya klabu? Na mchanganuo wake ukoje?

Nimeuliza hivi, kwa sababu kwa upande wa Kisinda wa Yanga, Katibu wao alishatolea maelezo juu ya mchanganuo wa fedha za mauzo yake. Hivyo nahitaji majibu yenye weledi! Na siyo yale ya kila siku ya kimbumbumbu.
Kwahyo kisa yanga wamesema ndo na simba iseme?
 
Sisi likitoka jino kushoto tunaongeza meno kulia haina haja ya kuziba pengo la kushoto tunatafunia upande wa kulia.
 
LUIS JOSE MIQUISSONE Akiwa mazoezini na timu yake mpira ya Utopolo Fc.
Shadeeya
FB_IMG_1629448935950.jpeg
 
Kwa hiyo baada ya mauzo, hela za hao wachezaji zimeingizwa kwenye akaunti ipi? Ya Moo au ya klabu? Na mchanganuo wake ukoje?

Nimeuliza hivi, kwa sababu kwa upande wa Kisinda wa Yanga, Katibu wao alishatolea maelezo juu ya mchanganuo wa fedha za mauzo yake. Hivyo nahitaji majibu yenye weledi! Na siyo yale ya kila siku ya kimbumbumbu.
Upewe mchanganuo we kama Nani....utopolo bana
 
Back
Top Bottom