NyaniHela za kuwanunua zilitoka kwenye akaunti ya nani?
Ooohh!! Basi sawa! Nilidhani zilitoka kwenye akaunti ya lile PAKA lililochagiza ule ushindi wa goli 4 dhidi ya Fc Platinum!Nyani
Kama pengo la okwi halijazibwa na tunachukua makombe kuna haja gani ya kuziba hilo pengo?Amekwambia nani mapengo yao yanaweza kuzibwa.?
Mpaka leo pengo la Okwi (Winga wa kushoto) bado halijaweza kuzibwa vyema. Morrison ndio tia maji tia maji katika eneo lile. Lakini bado hajaweza kuimudu nafasi vyema.
Kwahyo kisa yanga wamesema ndo na simba iseme?Kwa hiyo baada ya mauzo, hela za hao wachezaji zimeingizwa kwenye akaunti ipi? Ya Moo au ya klabu? Na mchanganuo wake ukoje?
Nimeuliza hivi, kwa sababu kwa upande wa Kisinda wa Yanga, Katibu wao alishatolea maelezo juu ya mchanganuo wa fedha za mauzo yake. Hivyo nahitaji majibu yenye weledi! Na siyo yale ya kila siku ya kimbumbumbu.
Dooh salaaale.LUIS JOSE MIQUISSONE Akiwa mazoezini na timu yake mpira ya Utopolo Fc.
Shadeeya View attachment 1899484
Siku ya wananchi ni lini?LUIS JOSE MIQUISSONE Akiwa mazoezini na timu yake mpira ya Utopolo Fc.
Shadeeya View attachment 1899484
Upewe mchanganuo we kama Nani....utopolo banaKwa hiyo baada ya mauzo, hela za hao wachezaji zimeingizwa kwenye akaunti ipi? Ya Moo au ya klabu? Na mchanganuo wake ukoje?
Nimeuliza hivi, kwa sababu kwa upande wa Kisinda wa Yanga, Katibu wao alishatolea maelezo juu ya mchanganuo wa fedha za mauzo yake. Hivyo nahitaji majibu yenye weledi! Na siyo yale ya kila siku ya kimbumbumbu.
Mtu akishashiba uji na magimbi matokeo yake ndo hayammoja kati ya hao wawili kesha sajiliwa Yanga, na ndiye atakuwa wa mwisho kutambulishwaaaaaa!