julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,081
- 4,224
Juzi hapa nilikua na ka project ka nyumba.sasa nikafika kariakoo.kununua bidhaa.za rangi.kufika pale nikapiga piga window shopping wee nikajua binder ni bei gani.duka la kwanza nikapata kwa laki,maana mtaan huko ni mpaka lak na ishirin.nikasema acha niendellee na survey.kutoka tu kajamaa flan kakanifata kiongozi njoo na huku duka letu bei nafuu.nikamuuliza binder plasscon bei gan.kaniambia twende dukan.kufika pale huku na huku nikaipata kwa elfu 88.
Nachotaka kutoa tahadhar.kumbe kufika home fundi kaniambia hizi huwa za feki wanaprint karatas wanavisha ndoo.muwe makini nasikia rangi ndio balaa unawekewa maji mpaka utaita mma.fundi kaniambia huo mzigo 50%binder 50 % maji .
Tuwe makin saa nyingine wanaprint karatas ya kampun nzuri wanaweka