Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Fundi ni fundi tu kuna mahali lazima atakupiga vilvyo.Hatuwaamini mafundi kuwapa kununua wenyewe lkn kumbe ni bora kuongozana nao mara zingine kwakuwa expirience yetu ni tofauti na yao.
Na watu wanaopigwa sana na mafundi ni maboss bahili wanaojifanya kila kitu anaenda kununua..
Kuna vile unavijua nunua mwenyewe, vile huvijui fanya windowshopping ujue bei, mpe pesa akatafute kile kitafit.
Ujuaji mwingi mbele kiza.