Kwa mlio hatua ya rangi

julaibibi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2020
Posts
3,081
Reaction score
4,224
Juzi hapa nilikua na ka project ka nyumba.sasa nikafika kariakoo.kununua bidhaa.za rangi.kufika pale nikapiga piga window shopping wee nikajua binder ni bei gani.duka la kwanza nikapata kwa laki,maana mtaan huko ni mpaka lak na ishirin.nikasema acha niendellee na survey.kutoka tu kajamaa flan kakanifata kiongozi njoo na huku duka letu bei nafuu.nikamuuliza binder plasscon bei gan.kaniambia twende dukan.kufika pale huku na huku nikaipata kwa elfu 88.
Nachotaka kutoa tahadhar.kumbe kufika home fundi kaniambia hizi huwa za feki wanaprint karatas wanavisha ndoo.muwe makini nasikia rangi ndio balaa unawekewa maji mpaka utaita mma.fundi kaniambia huo mzigo 50%binder 50 % maji .
Tuwe makin saa nyingine wanaprint karatas ya kampun nzuri wanaweka
 
Hatuwaamini mafundi kuwapa kununua wenyewe lkn kumbe ni bora kuongozana nao mara zingine kwakuwa expirience yetu ni tofauti na yao.

Fundi mwenyewe lazima ale hela yako [emoji28]
 
Yaani hapo kama siyo kwa Hussein sijui [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hatuwaamini mafundi kuwapa kununua wenyewe lkn kumbe ni bora kuongozana nao mara zingine kwakuwa expirience yetu ni tofauti na yao.
Nimeshajua mnapochkua vitu substandard tena mnajaaga kweli hapo.mafund ni lazima wakuibie.na wakiona unakomaa hakusanui kama sehem fulan sio.ndio kujifunza
 
Mteremko utake wewe halafu lawama tupate sisi [emoji276]this is not fear [emoji47]
 
Wakati mwingine ni vyema kununua bidhaa kwa authorised dealers...yaani mawakala wakuu wa kampuni husika walioidhinishwa..hawa wanachukua mzigo moja kwa moja toka kiwandani..
 
Duuh na rangi imechakachuliwa[emoji848][emoji848]
 
kariakoo hasa kule gerezani uwe makini kwani kila kitu ni fake mkuu! Bora nenda nbaki Afirica upate kitu OG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…