Kwa mlio hatua ya rangi

Hatuwaamini mafundi kuwapa kununua wenyewe lkn kumbe ni bora kuongozana nao mara zingine kwakuwa expirience yetu ni tofauti na yao.
Fundi ni fundi tu kuna mahali lazima atakupiga vilvyo.

Na watu wanaopigwa sana na mafundi ni maboss bahili wanaojifanya kila kitu anaenda kununua..

Kuna vile unavijua nunua mwenyewe, vile huvijui fanya windowshopping ujue bei, mpe pesa akatafute kile kitafit.

Ujuaji mwingi mbele kiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…