Kibukuasili
JF-Expert Member
- May 15, 2010
- 1,053
- 615
Na kama barabara zetu haziwezi kupitisha gari yenye krain tufanyaje?View attachment GHARAMA ZA KUUNGANISHA UMEME - PRESS Release TANESCO.pdfLinakuja usiwe na wasiwasi. Halafu likifika port tutaangalia kama magari yetuyanaweza kulisafirisha. Kama hayawezi tutaagiza gari spesho. Likija gari tutaangalia kama barabara zetu litapita au la. Litafika tu
Wewe na waziri na waandishi mna tofauti gani?Utasemaje crane ni hype za waandishi wa habari wakati a liyeongea ni waziri?
kuna vita mkuu ya ukraineCrane liko wapi
Hilo crane kwani wameagiza leo? Au liliagizwa toka Ukraine?kuna vita mkuu ya ukraine
Ushauri wa bure walipa kodi wote tuanze utalii wa kodi na matumizi yake,kule Tanzanite bridge tumeambiwa tanroad wanaanza kukagua ubovu.Mkuu usipojua kinaendelea nini huko Stiglaz, unaonekana irrelevant. Crane haihitajiki kule, na kinachosubiriwa ni mageti ya kuzuia maji, na hilo halijazuia kazi ya ujenzi wa bwawa kuendelea.
Daraja la Tanzanite ni ufadhili wa watu wa Korea.U
Ushauri wa bure walipa kodi wote tuanze utalii wa kodi na matumizi yake,kule Tanzanite bridge tumeambiwa tanroad wanaanza kukagua ubovu.
Imekwama sayari ipi?Bado haijafika