Kwa mlio kwenye system, tujuzeni lile crane la tani 26 liliagizwa toka Sayari ipi?

Kwa mlio kwenye system, tujuzeni lile crane la tani 26 liliagizwa toka Sayari ipi?

Hilo crane la tani 26 limefika wapi? Bwawa linaanza kujazwa lini?
 
Hata ROHO TOUR tuliambiwa kwamba watatajwa wafadhili wa safari lakini hadi leo kimyaaaa kana kwamba watz wote ni mazuzu tumesahau!.
 
mimi nilivyomwelewa waziri hakumaanisha craine ya kunyanyua na kupachika nilielewa ni zile craine za milango ya maji zinazosimikwa kukinga maji na kufungua maji kwa uwelewa wangu ulimaanisha hivyo kama ingekuwa za kunyanyua tu hata za tani mia tano zingepatikana kirahisi hizo ni special kwa milango ya bwawa tusubiri tuone zikifika
Inatengenezwa kwa specification halafu ni ya kukodi? Kalemani hakujua kwamba hili winchi linahitajika kutengenezwa hadi asema bwawa linajazwa Nov.15? Hivi unakodi vipi kitu ambacho kiko taylor made kwa ajili yako?
mimi
 
mimi nilivyomwelewa waziri hakumaanisha craine ya kunyanyua na kupachika nilielewa ni zile craine za milango ya maji zinazosimikwa kukinga maji na kufungua maji kwa uwelewa wangu ulimaanisha hivyo kama ingekuwa za kunyanyua tu hata za tani mia tano zingepatikana kirahisi hizo ni special kwa milango ya bwawa tusubiri tuone zikifika

mimi
Sawa, alisema ni la tani 26 na litaagizwa toka nje ya nchi maana Tz hakuna. Sasa nauliza, limeagizwa toka sayari gani na lipo wapi?
 
Back
Top Bottom