Huyo kwa avatar yangu ni Shaaban Robert, Baba wa kiswahili. Napenda kiswahili lugha poa sana ndio lugha yangu ya kwanza kuijua(fikra halisi huja kwa lugha asili), sipendi zile " xawa, tantee, jomoni, vepe, na zingine kama izo" Hua namuona fala sana anae andika au kuongea ivo
Ivo ✖ = hivyo✔
Kwa avatar✖ = Kwenye avatar✔
Namuona✖ = Ninamuona✔
Anae✖ = Anaye ✔
ok endelea kuwaona mafala.
Sasa si ugeuke Shunie..[emoji57]Nimejiweka mwenyewe
Yaani we jamaa hata hupingi hoja unaangalia mtu anakosea wapi umsahihishe nadhani ndio kazi ya kubwa jfYangu nimeiweka kwa dhumuni la kumuathili kisaikolojia ninaye mpinga hoja, nikimpinga then akiiona avatar yangu ana imagine kama ninamng'ong'a furani vile.