Kwa mlio weka 'Avatar', je?, Inamaana yoyote.??, Kwa nini uliichangua hiyo??

Ruby Rose, this amazing lady ananikosha sana, jinsi alivyo fight kuanzia kwenye model mpaka kuingia hollywood kutoka nchini Australia, jinsi anavyojikubali na yuko very humbled.
Nilihisi ilitokana na ile mismamo yako...I guess I was wrong
 
Huyo kwenye avatar wala simjui niliona picha imetumwa hivyo group fulani nikashtuka nikajua ni mimi kuifungua nikakuta sio mimi ila tunaendana flani kimuonekano Na hiyo avatar nikaamua kuitumia huku
Kumbe chura ipo safi sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi "avatar" yangu inajieleza yenyewe,yaani ni maarufu kama ulivyo umaarufu wa MAJI,kiasi ambacho leo hii ni ajabu mtu kumuuliza mwenzake "MAJI NI NINI ?"


Narudi .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…