ndege joni
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 682
- 1,108
[emoji23][emoji23][emoji23] ndege joni anafanya kazi ya kusafisha mnapofikiria ni pachafu. Mizoga na masalia mengine yote... japo wengi huchukulia ni mchafu lakini anasaidia kuondoa uchafu na harufu mbaya katika mazingira