Kwa mlio weka 'Avatar', je?, Inamaana yoyote.??, Kwa nini uliichangua hiyo??

Mim avatar yangu ni ya mnyamwez wangu edd griffin,.

Kiufupi huyu ndo stand up comedian naemkubali kuliko wote hapa dunian

Na ndo celebrity pekee wa mbele ambae nishawai mwona live
 
Ukimuona tena MPE salamu zangu
 
Back
Top Bottom