Kwa mlio weka 'Avatar', je?, Inamaana yoyote.??, Kwa nini uliichangua hiyo??

Kwa mlio weka 'Avatar', je?, Inamaana yoyote.??, Kwa nini uliichangua hiyo??

[emoji23][emoji23][emoji23]

Tena nimekumbuka jina jingine anaitwaga kimwili au kimtu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]......Ila kimwli Chang kweli kidogo, kimtu Kwa mbali
 
Tena mkuu mtapendezana sana
Ngoja niweke avatar nyingine, kama mpaka sura tunafanana Na huyo rafiki yake...... maana naweza jipatia bebez Kwa ajili ya kufanana Na bestie [emoji16]
 
Kama mm tu
Halafu siku ile tupo kwenye semina ya maombi mtumishi akasema wale wanaonzaga maombi halafu shetani anaingilia kati waje mbele tuwaombee

Nikamuona ndg yangu huyo na yy anatoka nilimtazama tu nikajichekea kimoyomoyo
Hahahaahhahaaa. Na wewe ukatoka mbele?
 
Back
Top Bottom