Kwa mlio weka 'Avatar', je?, Inamaana yoyote.??, Kwa nini uliichangua hiyo??

Daaah kumbe yuko vzr wa kwanza ni nani asee
 
Yangu nmemweka mh T.A.M.Lissu,niliiweka siku alipopigwa Risasi dodoma nahisi naweza nisiitoe au nikiitoa nitaweka nyingine ya kwake sema itakua tofauti na iyo na namkubali sana alinifanya mpk nikalia iyo siku
 
Yangu nimeiweka kwa dhumuni la kumuathili kisaikolojia ninaye mpinga hoja, nikimpinga then akiiona avatar yangu ana imagine kama ninamng'ong'a furani vile.
Kiswahili kimeanza kuadimika kwenye miandiko ya watanzania....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…