Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahaaaUkizidiwa jambo zuri na mwenzio ujue mwenzio kafanya jambo la kikubwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Afadhali kuliko na kutokuwepo kabisaInakua sema ya kuitafuta kwa manati sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahahahaaa
Rudia basi kwa niaba ya mimi plzNimeshaitolea maelezo mkuu. Nina ufanano nayo kwa 95%.
HahahaahaaAfadhali kuliko na kutokuwepo kabisa
Comment #129 nimejibu mkuuRudia basi kwa niaba ya mimi plz
Elezea avatar yakoUmefunga PM maana umewaDIPU wakware 😛😛😛😛😛
Daa ngoja niende basiComment #129 nimejibu mkuu
Daaah kumbe yuko vzr wa kwanza ni nani aseeHuyo kwa avatar ni Shahrukh Khan, king of bollywood. Huwa ananinspire sana. Ukifuatilia story yake alianza chin kabisa bila kubebwa. Juhudi na nidham ndio zimemfanya kuwa muigizaj wa pili kwa utajiri duniani.
Naamin kwenye kila mafanikio kuna siri nyuma yake, siri ya wengi ni juhudi na nidham kwa kile unacho kifanya.
Ni mimi mwenyewe.Elezea avatar yako
Nimetamani ghafla kuwa "braza-kaka" sio kwa neema hizo za Allah...woiiii😂😂😂Dada wewe nakuona unavyokazia tu mscheeeww
Hahahahahaaa.. Ngoja son wako apite aone hii.Nimetamani ghafla kuwa "braza-kaka" sio kwa neema hizo za Allah...woiiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Kiswahili kimeanza kuadimika kwenye miandiko ya watanzania....Yangu nimeiweka kwa dhumuni la kumuathili kisaikolojia ninaye mpinga hoja, nikimpinga then akiiona avatar yangu ana imagine kama ninamng'ong'a furani vile.
Uwwwii...na mwanangu anavyopenda chura naomba asikatize hii mitaa..🙊Hahahahahaaa.. Ngoja son wako apite aone hii.
Mungu au mungu?Yakwangu ni rais wa nchi flani yeye anaamini kwamba mungu hayupo,, nimwonapo nauona ukuu wa mungu japo yeye anaamini kuwa mungu hayupo.
Toa makosa acha uzuzu mbona mimi nimemuorodheshea makosa jamaa mmoja hapo juu.Kiswahili kimeanza kuadimika kwenye miandiko ya watanzania....
Tukifunga shule december nitaamua kwa moyo mmoja!Hata wewe hujaamua tu