Mwenyewe ndo kazi ninayoifanya hapaHuu uzi unanifanya nizoom Avatar za watu...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mwenyewe ndo kazi ninayoifanya hapa
Mutu mujanjakwenye avatar ni moja kati ya vinywaji vyangu pendwa jameson whiskey pamoja na blue curacao
Haya shoo"U-maza" tuu shoo wangu wala si kingine,..
Chief ugomvi huoo😂😂😂😂Watu waongo sana, eti anasema ni mimi ila nimejifunika uso.....
Ukienda kuzoom unakuta picha ya rihana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Chief ugomvi huoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naww jee?au ndio kila kitu kinajieleza kama mm😂😂Haya shoo
Kila kitu kinajieleza. HahahaaaNaww jee?au ndio kila kitu kinajieleza kama mm[emoji23][emoji23]
Hahhahah.....wooiiiKila kitu kinajieleza. Hahahaaa
Geuza sura hiyo basi tukuone dada
Kila kitu kinajieleza. Hahahaaa
Mzigua90 sh'kamooo mamii..Huyo kwenye avatar wala simjui niliona picha imetumwa hivyo group fulani nikashtuka nikajua ni mimi kuifungua nikakuta sio mimi ila tunaendana flani kimuonekano Na hiyo avatar nikaamua kuitumia huku
HahahhaaMzigua90 sh'kamooo mamii..
Shemeji ako akishakusifia we mzuri anaekukimbia hajui wanawake wazuriMfyuuuu
Unataka nikimbiwe
Kwa chura IPI sasa.. Phenomenal woman ananisemaga eti sina chura hahahahahaaWoyoooooo watu na machura yao mjini
Marahaba dear. HahahahahaaaaMzigua90 sh'kamooo mamii..