Kwa mlio weka 'Avatar', je?, Inamaana yoyote.??, Kwa nini uliichangua hiyo??

Kwa mlio weka 'Avatar', je?, Inamaana yoyote.??, Kwa nini uliichangua hiyo??

He he nitakoma sio mm huyo bwana niliipenda tu hiyo picha ya watu nikaiiba
unakomaje sasa?? ulinambia avatar inayokuja utageuka huku naona umefanya vice versa

niahidi tena basi
 
Khaaaa
Lini nilikwambia hivyo siwezi weka avatar nimegeuka ukiona ya kugeuka sio mm

Picha zangu ninazoweka mgongo najiweka mwenyewe
unakomaje sasa?? ulinambia avatar inayokuja utageuka huku naona umefanya vice versa

niahidi tena basi
 
Back
Top Bottom